Adolf Hitler

Adolf Hitler

Hitler alijifyekelea mbali kwa kuwa vita ilimshinda hata asingejiua alikuwa ameshashindwa vita na asingekuwa na madhara yoyote,kwa upande mwingine ninasadiki Hitler alikuwa na matatizo kichwani,Hitler was responsible for 10 million deaths
Is it Holocaust
 
Ingekuwa huyo ni mzee sana mwenye umri wa miaka 137.
  • Ni mzee aliyechoka choki' na hatamani hata kuishi tena. Angekuwa hana hamu wala uwezo na nguvu ya kujihusisha tena na mambo ya kisiasa.
  • Pengine angekuwa ni mganjwa wa Alzheimer na mzimu wa zile damu za Wayahudi M6+ zingekuwa zinamwandama Uck kucha.

Ndiyo. Kuna kamsemo kwamba "Avumaye baharini papa, kumbe wengi wapo".
Angeibuka mpinzani mmoja dhidi ya siasa zake na kumtokomeza kabisa kusikojulikana.
Miaka hiyo akiua wayahudi hizi dini zingine zilikuwepo?
 
Hapa tunazungumzia mauaji ya kukusudiwa(holocaust) na mauaji yaliyotokana na yeye kuanzisha vita kabla hata vita haijaanza kulikuwa na program ya Action T4 ya kuwaua watu wenye ulemavu wa viungo na akili ujerumaji
Unahisi hakuwa na uvumilivu
 
Hapa tunazungumzia mauaji ya kukusudiwa(holocaust) na mauaji yaliyotokana na yeye kuanzisha vita kabla hata vita haijaanza kulikuwa na program ya Action T4 ya kuwaua watu wenye ulemavu wa viungo na akili ujerumaji
Juden was priority
 
Mataifa ya Ulaya hawataki hata kumkumbuka kwa kile alichowafanyia.
 
Wakati Tanganyika ikiwa koloni la Mjerumani huenda tungekuwa na maendeleo! Ingawa mababu zetu walikiona cha moto wakati wanajenga reli ya kati na ya Tanga.
 
Back
Top Bottom