D Digitaldreamer JF-Expert Member Joined Jun 11, 2022 Posts 879 Reaction score 1,578 Oct 19, 2026 #61 Iyerdoy said: Sina uhakika wa hilo ila inaweza kutegemeana na uwezo wa kifedha na uzito wa hamasa uliotumika. Click to expand... Inafikirisha kidogo, haiwezekani kila wanapoenda wao ni kutimuliwa tuuh, mpaka waliporudishwa walipo sasa Hali zao kidogo zimetengamaa
Iyerdoy said: Sina uhakika wa hilo ila inaweza kutegemeana na uwezo wa kifedha na uzito wa hamasa uliotumika. Click to expand... Inafikirisha kidogo, haiwezekani kila wanapoenda wao ni kutimuliwa tuuh, mpaka waliporudishwa walipo sasa Hali zao kidogo zimetengamaa
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,846 Reaction score 16,713 Oct 20, 2026 Thread starter #62 Iyerdoy said: Hapana. Uhuru ulipiganiwa/ulidaiwa - kwa vita au siasa. Click to expand... Nyerere alipigania uhuru au aliomba
Iyerdoy said: Hapana. Uhuru ulipiganiwa/ulidaiwa - kwa vita au siasa. Click to expand... Nyerere alipigania uhuru au aliomba
Iyerdoy JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 4,090 Reaction score 5,248 Oct 20, 2026 #63 Andromeda Galaxy said: Nyerere alipigania uhuru au aliomba Click to expand... Alijenga hoja
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,579 Reaction score 21,407 Oct 21, 2026 #64 Inasikitisha sana watu walikuwa wanauwawa kama mbu,wengine wakiwa uchi wa mnyama