Adonai uwalinde wanajeshi wanaofanya kazi kutoka mpaka wa Lebanon mpaka jangwa la Misri ili kuwapiga adui zao

Adonai uwalinde wanajeshi wanaofanya kazi kutoka mpaka wa Lebanon mpaka jangwa la Misri ili kuwapiga adui zao

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Hii ndiyo sala maalumu kabisa ya kimapokeo inayomsihi na kumuomba Adonai awalinde na kuwapa ushindi Wana Israel wanaokwenda vitani kupambana na magaidi ya Hezbollah huko Lebanon.

Adonai uwalinde wanajeshi wanaofanya kazi kutoka mpaka wa Lebanoni mpaka jangwa la Misri ili kuwapiga adui zao na kuwapa ushindi" Mungu.

The traditional prayer pleads with God to safeguard the troops operating “from the border of Lebanon to the desert of Egypt,” to smite their enemies and grant them victory.
 
Back
Top Bottom