Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Propaganda nyengine ni ngumu sana. Heche ni binaadam, anaishi na watu na ana marafiki ambao ni watz kama wewe👉John Wegesa Heche na ndugu yake Emmanuel Chacha Heche walikwenda matibabu India kwa gharama za watu mnaowaaminisha ni wabaya. Mtu akiwa mbaya angewamalizia Heche na ndugu yake India wakati wa matibabu yao.
👉Heche na familia yake wanaendelea kupata matibabu huku wakiwadanganya Watanzania kuwa wao ni wapambanaji, ila wanatibiwa India kwa gharama za mtu wanayemuaminisha kwa Watanzania kuwa ni adui.
👉Je inawezekanaje mtu anayesemwa kuwa adui akawa sehemu ya msaada wa matibabu, huku hadharani John Heche akiendelea kutajwa kama mpinzanView attachment 3670507View attachment 3670508i?✍️
Hadi Bwana Malaria 2 umeona hii ngumu.Propaganda nyengine ni ngumu sana. Heche ni binaadam, anaishi na watu na ana marafiki ambao ni watz kama wewe
Singasinga wa puto tumboni aliichangia CCM kwenye uchaguzi.👉John Wegesa Heche na ndugu yake Emmanuel Chacha Heche walikwenda matibabu India kwa gharama za watu mnaowaaminisha ni wabaya. Mtu akiwa mbaya angewamalizia Heche na ndugu yake India wakati wa matibabu yao.
👉Heche na familia yake wanaendelea kupata matibabu huku wakiwadanganya Watanzania kuwa wao ni wapambanaji, ila wanatibiwa India kwa gharama za mtu wanayemuaminisha kwa Watanzania kuwa ni adui.
👉Je inawezekanaje mtu anayesemwa kuwa adui akawa sehemu ya msaada wa matibabu, huku hadharani John Heche akiendelea kutajwa kama mpinzani?✍️
Huyo mtu anayewatibu Heche na familia yake, anatoa feza zake mfukoni mwake au ni kanuni ya kisheria ya kutibu viongozi na fedha za kugharamia matibabu kutolewa na Serikali kwa niaba ya umma?👉John Wegesa Heche na ndugu yake Emmanuel Chacha Heche walikwenda matibabu India kwa gharama za watu mnaowaaminisha ni wabaya. Mtu akiwa mbaya angewamalizia Heche na ndugu yake India wakati wa matibabu yao.
👉Heche na familia yake wanaendelea kupata matibabu huku wakiwadanganya Watanzania kuwa wao ni wapambanaji, ila wanatibiwa India kwa gharama za mtu wanayemuaminisha kwa Watanzania kuwa ni adui.
👉Je inawezekanaje mtu anayesemwa kuwa adui akawa sehemu ya msaada wa matibabu, huku hadharani John Heche akiendelea kutajwa kama mpinzani?✍️
Sawa tumekusikia, kachukue posho yako👉John Wegesa Heche na ndugu yake Emmanuel Chacha Heche walikwenda matibabu India kwa gharama za watu mnaowaaminisha ni wabaya. Mtu akiwa mbaya angewamalizia Heche na ndugu yake India wakati wa matibabu yao.