the tyme is now,, kwa nn usubr mpaka ufke miaka 50+ life starts at 20's/30'sWewe nae ulizingua mzee mwenye 50+ ana TX ana kuInspire mpaka kwenda kumuuliza angekuwa kijana wa 25..26 kweli ila kwahuo umri rahisi na kawaida kufikia level hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujaelewa unekurupuka kujibuthe tyme is now,, kwa nn usubr mpaka ufke miaka 50+ life starts at 20's/30's
Sent using Jamii Forums mobile app
hv unaanzaje kuzoeana na mzee kama yule?? yaan hujui anakokaa wala sio jran ako,sio anko wako how comes?? au ulitaka nimuombe namba??
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee pamoja na Useminari wanguu hiki kifungu cha Bbilia kimenipita! ila ujumbe mujarabu kwa muktadha wa uzi huu.Yesu alipata kusema.
Adui wa mtu ni wale wa nyumbani mwake.
Aisee pamoja na Useminari wanguu hiki kifungu cha Bbilia kimenipita! ila ujumbe mujarabu kwa muktadha wa uzi huu.
hii n kweli asee ,,
tarehe 28.12.2019 nlikua zang maeneo ya stand akatokea mzee mmoja (kwa makadrio ana umri wa miaka 50+) na prado TX mpyaaaa nikaona huyo anashhuka. bdae nkamuona anarud kwny gar nkamfata nkamwambia MZEE MM NI MPAMBANAJI NNAFANYA VIBIASHARA VIDOGO VIDOGO
naomba unpe ushaur/mwanga namna gan nzur ya kufankiwa kama ww yaan duuuuh jbu alonpa sikuamin asee.... mpaka leo nkajifunza kwamba sio rahs mtu kukupa njia anayopatia fedha aseeeeeee haya maisha acha tu
Sent using Jamii Forums mobile app