Adui mkubwa wa masikini ni masikini mwenzake

Adui mkubwa wa masikini ni masikini mwenzake

hv unaanzaje kuzoeana na mzee kama yule?? yaan hujui anakokaa wala sio jran ako,sio anko wako how comes?? au ulitaka nimuombe namba??

Sent using Jamii Forums mobile app


Kiuhalisia ni ngumu!...ulipasw utafute mtu unayemjua ujenge nae ukaribu ndo umuulize yaan from nowhere uanze muuliza mtu road best? Mwingine anaeza kukuona ww ni kibaka!
 
Aisee pamoja na Useminari wanguu hiki kifungu cha Bbilia kimenipita! ila ujumbe mujarabu kwa muktadha wa uzi huu.

Mathayo 10:35-37

35 Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwe mtu;
36 na adui za mtu ni wale wa nyumbani mwake.
37 Apendaye baba au mama kuliko mimi, hanistahili; wala apendaye mwana au binti kuliko mimi, hanistahili.
 
Ulibugi sana kumuona mtu akupe siri ya utajiri. Kufika kwenye level ya utajiri ni mengi sana watu wanapitia hasa dili siyo halali, ukwepaji kodi, rushwa hata kupitia kwa waganga. Wapo wanaokuwa matajiri kihalali ila ni wachache sana. Utajiri una siri nzito na hakuna atakayekuambia hata siku moja siri hiyo.
hii n kweli asee ,,
tarehe 28.12.2019 nlikua zang maeneo ya stand akatokea mzee mmoja (kwa makadrio ana umri wa miaka 50+) na prado TX mpyaaaa nikaona huyo anashhuka. bdae nkamuona anarud kwny gar nkamfata nkamwambia MZEE MM NI MPAMBANAJI NNAFANYA VIBIASHARA VIDOGO VIDOGO
naomba unpe ushaur/mwanga namna gan nzur ya kufankiwa kama ww yaan duuuuh jbu alonpa sikuamin asee.... mpaka leo nkajifunza kwamba sio rahs mtu kukupa njia anayopatia fedha aseeeeeee haya maisha acha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom