CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Yaani adui mkubwa wa masikini siku zote huwa ni masikini mwenzake na wala sio tajiri. MO sio adui wa masikini, wala Bakhresa sio adui wa masikini.
Adui wa masikini ni masikini mwenzake ambaye ndiyo mashauri wake mkuu. Masikini akitaka kufanya jambo ataenda kumuuliza masikini mwenzake hapo ndiyo kimbembe kinapoanzia. Kitakacho fuata ni kukatishwa tamaa mwanzo mwisho na kutiwa hofu.
Leo hii Azam ana-pack kila kitu na siku si nyingi tusishangae Azam Ubuyu, tusishangae Azam Vitumbua, tusishange Azam Mihogo ya kupika.
Sasa hizi idea ange-present masikini kwa masikini mwenzake angekatishwa tamaa balaa. Yaani angeambiwa huwezi uza vitunbua wewe, huwezi uza mihogo unajiabisha, huwezi uza ukwaju na elimu yako ya chuo. Huwezi uza Mandazi wewe hutaweza acha kabisa.
Ila tajiri Azam anapokuja na maandazi masikini hashangai bali atakimbilia kwenda kununua hayo manadazi. Masikini atabakia kusifia yale maandazi ya Azam.
Tuendelee kukatishana tamaa kwamba kwa elimu yako hicho hakifai ilihali matajiri wenye turnover ya zaidi ya Tsh billioni 100 kwa mwaka wao wanafanya hizo ambazo wewe na mimi tunapondea hazifai.
Sent using Jamii Forums mobile app