Adui mkubwa wa mwanamke ni UMRI

Kukasirika au kutofurahishwa na maneno ya mleta mada haibadilishi ukweli kuwa huo umri ni late marriage stage. Kwa mtu mwenye malengo ya kujenga familia bora na mahusiano serious,miaka 27 amechelewa sana na atarisk sana mahusiano yake.

Wewe unaongelea kutongozwa of which haimaanishi kuolewa na mtu serious, mwanamke atatongozwa tu hata akiwa na miaka 70 hiyo sio hoja ya mafanikio kwa mwanamke.

Umemtolea mfano Koffi Olomide,unajua kuwa hataki kupata mtoto na huyo mwanamke na imeanza kuleta shida na inaweza pelekea talaka?🤔 Mahusiano ya kutafuta baada ya miaka 26 kwa mwanamke huwa yanakuja na vipengele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…