Adui muombee njaa,leo mancity hatoki kwa stokecity

Adui muombee njaa,leo mancity hatoki kwa stokecity

TWIZAMALLYA

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Posts
397
Reaction score
81
Ligi imefika patamu sasa,sisi Manu tunachekelea tu kwani mechi zetu zilizobaki ni nyepesi ukilinganisha na jirani zetu.Leo wana kibarua kigumu kwa stoke.
 
Mancin kidomodo kitaisha 2 . Na lazima ataondoka man city
 
Mechi ya leo itakuwa nzuri kidogo maana Stoke kwao sio wepesi sana
 
Back
Top Bottom