Adui Muombee Njaa

Adui Muombee Njaa

Pole kwa janga la vidonda vya tumbo

Tafuna bamia mbichi (mkunaji hakikisha yupo karibu lakini)

Tafuna tango na maganda yake mara ukihisi njaa ya hivyo vidonda au mara tatu kwa siku asubuhi kabla ya kula chochote na mchana hivyohivyo na usiku pia

Hakikisha tango huliweki kwenye friji

Baada ya wiki 3 leta mrejesho hapa
Asante mpenzi. Ila bamia mbichi staki ntakula tango tu. Ntaanza kesho hiyo tiba
 
Njaa inatibika kwani hata ukila tunda njaa inatoka ila gegedo ndo mwisho wa kila kitu. Mtu akishikwa na nyege anawehuka na ikitokea bahati mbaya kakosa mtu wa kugegeda naye anaanza kutafuta wanyama, watoto wadogo, matunda, na ujinga mwingine ili ajichue. Ukiwa kijijini na nyege imekushika, utakuwa radhi kutembea usiku kucha maporini huku ukipishana na wanyama wakali kwenda Kijiji cha pili kutafuta mtu wa kugegeda. Ukishajipigia vijigoli vyako unaanza kujuta na kujiliwaza ingekuwaje kama ungeliwa na simba ama chui? Nyege haina mbadala jamani, tuiheshimu daima. Mzigua90 upo free usiku huu, nije kwenu?
Hapo mwisho umenichekesha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
dada angu me wahenga siwaelewi hata kidogo yani utaniambiaje eti adui yangu nimuombee aishi miaka mingi 😂😂😂 au eti aliye juu mngoje chini sasa asiposhuka je si imekula kwangu
 
Ni nzuri sana lakini inazuia na kansa ya shingo ya kizazi

Mwanzoni inatia kichefuchefu ukizoea ni poa tu

Inajaza ute pia [emoji85]
Hapo kenye ute sasaaa.. napendaga kuipika kwenye mboga tu. Tena weekend hii ntapika hombo na visamaki vya kukaanga nijaze ute. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapo kenye ute sasaaa.. napendaga kuipika kwenye mboga tu. Tena weekend hii ntapika hombo na visamaki vya kukaanga nijaze ute. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ute pyua ni uzitafune na ubichiii

Kwa raha zako mweee
 
Back
Top Bottom