Adui Muombee Njaa

Adui Muombee Njaa

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Jamani jamani hakuna kitu kigumu kuvumilia kama njaa. Nimeamka saa hizi napika baada ya kushindwa kabisa kulala.
Mpaka tumbo nalisikia kama linataka kuuma sababu ya njaa.
Jumamosi nilishinda ndani siku nzima naugulia maumivu ya vidonda vya tumbo. Hii njaa ninayoisikia hapa ningefanikiwa kulala basi saa nane isingefika ningeamka natapika na kuumwa tumbo kisa tu naona uvivu kupika.
Adui yako muombee kingine sio njaa tafadhali
 
Back
Top Bottom