usije shangaa JK akifanyiwa hivo kuamia chademaMbowe kakasirika wewe mwenyewe umeona, unafikiri itakuwaje kwa JK?
Behind enemy lineTAL anatetea maslahi ya Tanganyika.
Ameanza hizo harakati tangu enzi za mzee Benjamin Mkapa mpaka sasa.
Sukuma gang wanatetea maslahi yao na matumbo yao
Sukuma gang sio kabila bali wafuasi wote wa jiwe bila kujali makabila au asili yao
TAL anatetea maslahi ya Tanganyika.
Ameanza hizo harakati tangu enzi za mzee Benjamin Mkapa mpaka sasa.
Sukuma gang wanatetea maslahi yao na matumbo yao
Sukuma gang sio kabila bali wafuasi wote wa jiwe bila kujali makabila au asili yao
uwezo wa fikra (IQ)Adui wake ni maamuzi yake + mdomo wake*kifo ni kifo tu* + ubovu wake na hotuba zake ni trash tupu
Hao SUKUMA GANG ndio WANAOTEKA, KUTESA, KUUA na KUFIRA watu???TAL anatetea maslahi ya Tanganyika.