Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
HakikaNini maana ya uchawa?
- UCHAWA ni UPUMBAVU kwasababu tafsiri ya UPUMBAVU ni kuujua ukweli lakini ukaupindisha.
-UCHAWA unatokana na Mtu kuwa MCHAFU hivyo anatafuta Watu kwa gharama zozote zile wawe wanamsafisha.
JPM alitenda na kuongea ukweli kwa maslahi ya nchi.Uchawa ulizidi kipindi Cha jpm
Unamkumbuka Jerry muro na msando? Unakumbuka walibyopata UDCJPM alitenda na kuongea ukweli kwa maslahi ya nchi.
JPM alitenda na kuongea ukweli kwa maslahi ya nchi.
Uchawa ni janga kwa taifa, uchawa ni mojawapo ya signs za watu wenye mtindio wa ubongo. Uchawa ni utaahira, uchoko na upumbavu. Uchawa ni uhanithi.Nini maana ya uchawa?
- UCHAWA ni UPUMBAVU kwasababu tafsiri ya UPUMBAVU ni kuujua ukweli lakini ukaupindisha.
-UCHAWA unatokana na Mtu kuwa MCHAFU hivyo anatafuta Watu kwa gharama zozote zile wawe wanamsafisha.
Tatizo la kimfumo,makuzi ya kijamaa yamechangia dhana ya uchawa kukua kwenye akili za vijana,sasa zama zinapobadilika dhana ya uchawa inaingia kwenye aina nyingine,kama ni zama za kidikteta basi uchawa utainuka kuutetea udikteta,kama ni zama za Uzalendo,uchawa utainuka kuutetea uzalendo,kama ni zama za ufisadi uchawa utainuka kuutetea ufisadi.Mimi siwezi kuwa chawa wa binadamu mwenzangu. Bora nife masikini.
Sahihi kabisaUchawa n matokeo ya ujinga na umaskini.
To put it lightly!Uchawa ni janga kwa taifa, uchawa ni mojawapo ya signs za watu wenye mtindio wa ubongo. Uchawa ni utaahira, uchoko na upumbavu. Uchawa ni uhanithi.