Safi sana, kama ulivyo ridhika wewe kwa kulipwa Buku 7 ukajitoa kabisa ufahamuMiaka nenda Rudi tumeimbishwa na wanasiasa kuwa adui mkubwa wa watanzania Ni umaskini, ujinga na maradhi Mimi nilichogundua sio kweli tatizo kubwa Ni kuridhika haraka
Mfano tumeridhika na dawa za wazungu ndio maana hatugundui zetu, tumeridhika na elimu ya wazungu ndio maana hatuna yetu , tumeridhika na kakilimo ketu na kakipato ketu na makazi yetu Mungu atupe Nini
Mainchi matajiri watu wake hawaridhiki haraka ndio maana kutwa hugundua na hutaka kwenda mbele zaidi kwenye maeneo yote ya maisha iwe kilimo,biashara,kipato,ufundi,elimi nk.
Akina bakhresa Ni mabilionea sababu hawaridhiki kiwango Chao Cha kutoridhika Kiko juu
Kiwango Cha kuridhika haraka kwa watanzania ngozi nyeusi kikoo juu kuliko wahindi,waarabu na wazungu
Yaani hata mitoto iwe ya mswahili awe bosi ofisini , kwenye siasa au dini au au bunge au mahakama inabweteka inaridhika na success ya wazazi walipofikia kazi Yao kula kulala !!! Hata ndugu ana relax anataka kula Cha nduguye aliyefanikiwa !!! Hata awe mtoto wa Reginald Mengi au bilionea mama Rwakatare!!! Watoto wa wenzetu wa akina bakhresa au Dewji hawaridhiki Wana fight kampuni iende juu zaidi.Nakuunga mkono kwenye hili. Kuna ukweli. Ni vema tukajitafakari upya.
Nadhan kuna haja ya kubadilisha style ya malezi.Yaani hata mitoto iwe ya mswahili awe bosi ofisini , kwenye siasa au dini au au bunge au mahakama inabweteka inaridhika na success ya wazazi walipofikia kazi Yao kula kulala !!! Hata ndugu ana relax anataka kula Cha nduguye aliyefanikiwa !!! Hata awe mtoto wa Reginald Mengi au bilionea mama Rwakatare!!! Watoto wa wenzetu wa akina bakhresa au Dewji hawaridhiki Wana fight kampuni iende juu zaidi.
Soma Tena nilichoandika nimesema watanzania weusi ndio wanaongoza kuridhika haraka sio wahindi,waarabu na wazungu
Pumbafu!Adui wa watanzania ni Chadema
Kwani Mimi kwa Sasa Ni lofa nimesema watanzania wengi weusi sijasema wote