Adui yako anaweza kuwa best friend? Any living examples please?

SIPENDI SIASA

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
791
Reaction score
1,199
Good Morning wadau wa JF.

Visa vya rafiki kuwa adui ni vingi mno na vimeandikwa sana humu na sehemu zingine mbalimbali. Je, adui yako anaweza kuwa rafiki? Au aliyewahi kuwa rafiki kisha akageuka adui, anaweza kuja kuwa rafiki tena hapo baadae? Any living examples please?

Kama una kisa cha namna hiyo please share with me, kwa maana kwangu ninaona ni jambo impossible kabisa.
 
Nothing is permanent.. Watu wanabadilishana marafiki na maadui kila siku.. Na chanzo cha yote ni kwa vile moyo wa mtu ni kiza kinene..
Kwangu mimi ni rahisi sana kwa rafiki kuwa adui kuliko adui kuwa rafiki aisee..
 
inawezekana kabisa asilimia mia sababu kuu mbili ya kwanza riziki mmoja akifanikiwa mwngne bado na walkuwa pamoja kipindi hawana kitu either aliefankiwa kumuona mwenzie syo level ake na kupata marafk anaoendana nao au ambae hajafankiwa kuwa insecure na kujtenga

Sababu ya pili Mahusiano, wanawake wengi huwa hawapendi sana urafiki ulioshibana kupitiliza hutumia njia yoyote kuuvunja kama mwanaume usipokuwa imara
Mkuu, umejibu vice versa. Tafadhali sana, soma tena heading ya mada..
 
Good Morning wadau wa JF.

Visa vya rafiki kuwa adui ni vingi mno na vimeandikwa sana humu na sehemu zingine mbalimbali. Je, adui yako anaweza kuwa rafiki? Au aliyewahi kuwa rafiki kisha akageuka adui, anaweza kuja kuwa rafiki tena hapo baadae? Any living examples please?

Kama una kisa cha namna hiyo please share with me, kwa maana kwangu ninaona ni jambo impossible kabisa.
Tundu Lissu alikua ccm ujanani kabla hajajipata, alivyojitambua akawa mpinzani kindakindaki...ccm wakamfanya hakuna...akawa adui mkuu mwandamizi wa serikali ya ccm.. ila kwa sasa kaungana tena na adui yake yule yule kuhakikisha upinzani unarudi kaburini.
 
Ukiona adui amebadilika ghafla na kujivika gamba la urafiki ooo
Tambua anaweka mazingira ya kukupiga na kitu kizito na hutokaa usahau
 
Good Morning wadau wa JF.

Visa vya rafiki kuwa adui ni vingi mno na vimeandikwa sana humu na sehemu zingine mbalimbali. Je, adui yako anaweza kuwa rafiki? Au aliyewahi kuwa rafiki kisha akageuka adui, anaweza kuja kuwa rafiki tena hapo baadae? Any living examples please?

Kama una kisa cha namna hiyo please share with me, kwa maana kwangu ninaona ni jambo impossible kabisa.
Adui yangu alinikutanisha na mke wangu ninae ishi nae saizi!
Mungu amuweke
 
Back
Top Bottom