Adui yako anaweza kuwa best friend? Any living examples please?

Kuna mteja wangu mmoja tulizinguana mbwai mbwai Hadi tukapelekana police Kisha mahakamani.

Sasa Kuna Binti nikaja kumpangisha kwangu, Nisijue Kumbe anaetoa pesa ya Kodi ni michepuko wake ambae ndo aliekua mteja wangu tuliezinguana kupindi kile Hadi police.

Kipind naendeleza ujenzi nasimamia mafund, jamaa kaja kapaki uani,kaingia zake ndani kula mzigo.

Tulikuja kuelewana Tena baadae, sahv Ni rafiki yangu mkubwa sana
 
Hongera sana mkuu
 
Good Morning wadau wa JF.

Visa vya rafiki kuwa adui ni vingi mno na vimeandikwa sana humu na sehemu zingine mbalimbali. Je, adui yako anaweza kuwa rafiki? Au aliyewahi kuwa rafiki kisha akageuka adui, anaweza kuja kuwa rafiki tena hapo baadae? Any living examples please?

Kama una kisa cha namna hiyo please share with me, kwa maana kwangu ninaona ni jambo impossible kabisa.
Ramon Sanchez
 
Back
Top Bottom