Adui yako anaweza kuwa best friend? Any living examples please?

Kuna mteja wangu mmoja tulizinguana mbwai mbwai Hadi tukapelekana police Kisha mahakamani.

Sasa Kuna Binti nikaja kumpangisha kwangu, Nisijue Kumbe anaetoa pesa ya Kodi ni michepuko wake ambae ndo aliekua mteja wangu tuliezinguana kupindi kile Hadi police.

Kipind naendeleza ujenzi nasimamia mafund, jamaa kaja kapaki uani,kaingia zake ndani kula mzigo.

Tulikuja kuelewana Tena baadae, sahv Ni rafiki yangu mkubwa sana
 
Hongera sana mkuu
 
Ramon Sanchez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…