Adult Talks: Kwa kupitia ndoa yako. Unawashauri vipi ambao hawajaoa?

Adult Talks: Kwa kupitia ndoa yako. Unawashauri vipi ambao hawajaoa?

Oa mtu mtakayefanana! Bond kwenye ndoa ambapo ndicho kitu muhimu zaidi huletwa na kufanana kimtazamo ktk mambo mengi hasa yale ya msingi kuliko usahihi

Pili usioe hata kwa bahati mbaya hawa wanawake wanaharakati wanaojiwekea mizania sawa na wanaume. Ukijichanganya hapa utawapiga tukio na utaishia jela
 
Back
Top Bottom