Habari zenu viongozi.......
Hivi hivi vitabu vya kinunda vina update za hivi karibuni au ndo vya mwaka sabini vilevile....maana nimetafuta nimevikuta vile vya mwaka sabini na nne....
hiyo ni taarifa au ni swali?
Are we growing wiser or we going tall???....Sidhani kama ni sahihi mtu kama wewe utumie mda wako kupost s**t than kuchangia kile nilichoandika....Nimeuliza "hivi vitabu vina update za siku hizi au hapana" nini usichoelewa....
Hili limekua tatizo kubwa sana kwenu mnaojifanya wajuaji.