Adv/Mathematics by Kinunda

Adv/Mathematics by Kinunda

The Ape

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
330
Reaction score
475
Habari zenu viongozi...
Hivi vitabu vya kinunda vina update za hivi karibuni au ndo vya mwaka sabini vilevile...

maana nimetafuta nimevikuta vile vya mwaka sabini.
 
Habari zenu viongozi.......
Hivi hivi vitabu vya kinunda vina update za hivi karibuni au ndo vya mwaka sabini vilevile....maana nimetafuta nimevikuta vile vya mwaka sabini na nne....

hiyo ni taarifa au ni swali?
 
hiyo ni taarifa au ni swali?

Are we growing wiser or we just going tall???....Sidhani kama ni sahihi mtu kama wewe utumie mda wako kupost s**t kuliko kuchangia kile nilichoandika....Nimeuliza "hivi vitabu vina update za siku hizi au hapana" nini usichoelewa....
Hili limekua tatizo kubwa sana kwenu mnaojifanya wajuaji.
 
Are we growing wiser or we going tall???....Sidhani kama ni sahihi mtu kama wewe utumie mda wako kupost s**t than kuchangia kile nilichoandika....Nimeuliza "hivi vitabu vina update za siku hizi au hapana" nini usichoelewa....
Hili limekua tatizo kubwa sana kwenu mnaojifanya wajuaji.

swali gani lisilo na alama ya kiulizo?
Kijana uwe na adabu. Kauli zako zitakusababishia ukose vingi.
 
swali gani lisilo na alama ya kiulizo?
Kijana uwe na adabu. Kauli zako zitakusababishia ukose vingi.


Nisamehe ndugu yangu kama nimekukwaza....
Lakini ilikua sio sahihi kwa wewe kujitia kiburi kwa kitu ulichoelewa...
 
kinachomata ni material inside and not updates,sio mpaka kila kitu akutafutie kinunda kama kuna some missig topic au nyingine out of sylubuc update mwenye ndo uanafunzi huo,
 
mi nilicheza na madesa tu mwisho wa siku nikascore banda la adv maths.
 
Back
Top Bottom