Adv. Mwabukusi umetimiza wajibu wako, lakini hawa wameshakuwa sikio la kufa kama Idd Amin wa Uganda.

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Tuliokuwepo watu wazima wakati wa kutoelewana kati ya Idd Amin na Nyerere, Idd Amin aliambiwa kila jema na dunia nzima .....alilipuuza kila kitu akiamini ana jeshi la kuwakabiri watanzania!. Matokeo yake kila mmoja anayajua Idd Amin alifia wapi!

Hali iko hivyo hapa kwetu.

Mtawala wetu sidhani kama atakubali busara zako ulizoziongea hapa. As long as amezungukwa na watu "wanaomdai", we need another approach!

Asante Mwabukusi
 
Surely,
kwamba mropokaji mwabukusi ndio awe mshauri kwa watu wenye hekima na busara zao humu nchini?

very nonsense 🐒
 
Tuliokuwepo watu wazima wakati wa kutoelewana kati ya Idd Amin na Nyerere, Idd Amin aliambiwa kila jema na dunia nzima .....alilipuuza kila kitu akiamini ana jeshi la kuwakabiri watanzania!. Matokeo yake kila mmoja anayajua Idd Amin alifia wapi!

Hali iko hivyo hapa kwetu.

Mtawala wetu sidhani kama atakubali busara zako ulizoziongea hapa. As long as amezungukwa na watu "wanaomdai", we need another approach!

Asante Mwabukusi
Wajibu wake kwa mtu wa imani yake hatusikilizi swala lamaoni ya imani yamtu tambueni rz haina din
 
Tuliokuwepo watu wazima wakati wa kutoelewana kati ya Idd Amin na Nyerere, Idd Amin aliambiwa kila jema na dunia nzima .....alilipuuza kila kitu akiamini ana jeshi la kuwakabiri watanzania!. Matokeo yake kila mmoja anayajua Idd Amin alifia wapi!

Hali iko hivyo hapa kwetu.

Mtawala wetu sidhani kama atakubali busara zako ulizoziongea hapa. As long as amezungukwa na watu "wanaomdai", we need another approach!

Asante Mwabukusi

Sikio la kufa huwa halisikii dawa!
 
Back
Top Bottom