Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

Kuna siku , nunda anafundisha topic flan hivi mi nlkua nshaisoma kitambo

Mi najipitia zangu , nkampa formuka rahis ya kuwaambia wanafunz wake washike kreb cycle

Ambayo ni Can I Keep Selling sugar

For money officer

Citrate

Isocitrate

Ketoglutarate

Succinate

Fumarate

Malate

Malizia mkuu

Jamaa alinisifia ahaha [emoji2], hafu hako kaformula nlkatoa kwa mhun wangu gmbashi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulikuwa na mitazamo tofauti kuhusu walimu wa Phyz.

Wapo walimpenda Mgote(kama mimi), wapo walimpeda Moody Phyz, wengine Mtiga..

Nilimpenda Mgote kulingana na uchambuzi wake wa notes kutoka vitabu mbalimbali na past papers za NECTA.

Aliyekuwa anaweza kufundisha na ukaelewa vizuri alikuwa Moody
 
daaah yan umenkumbsha wakat nmevamia mtihan fulan enz hzo npo six mda huo nlikuw nmeshakamilisha topic zote na kujiona mjuaji sana.🙇🙇🙇🙇kuna tuit center fulan ipo mwanza inajulikana kma TUITION YA MICHAEL hapa nilikutana na ma T.O kibao kuna shule mbalimbali wanajua phyz haswa sitosahau cku hyo kuna swali la surface tension lilinitoa jasho na huku ndo topic niliokuwa naonea cku zote....!

nakmbuka ule mtihan nlfanya maswal matatu tu current electric,projectile motion pamoja na measurements
 
kwa Michael aka Mnyama na mimi nimewahi fikapo nikiwa naingia form 6, pale kuna vichwa mpaka sio poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hiyo Kreb cycle haijawahi kukaa kichwani kwangu aiseee.

Niliwahi kupiga series moja ya Bios kwa Nunda ilikuwa paper One. Nilichezea chache hadi jamaa hauniwekea(hakujumlisha) marks baada ya kusahihisha. Nilipomuuliza mbona hujaniwekea marks. Alinijibu ''marks zenyewe chache hizi....." huku akichekelea kama kawaida yake.

Nilipokuja kuzihesabu nikakuta nimelamba alama 19 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Nilipaniki sana hadi nikatamani kulia ila nilipiga moyo konde na sikurudi tena kupiga series zingine.

Niliporudi shule, nikaanza kusoma Bios kwa umakini wa hali ya juu.

Siku ya mwisho(NECTA) hatimaye nikaibuka na C yangu ya Bios
 
Hongera mkuu

Series za nunda , sikuwahi kufeli

Offcourse yule jamaa ni mshikaji wangu , kihome boy mbeya huko

All in all mkuu !! , acha nipambane na neuro

Nafikiria kuanza double course [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa brother me Niko six now naambuli thirty thirty za bio kwa wingi
 
Acha kabisa Mkuu! Mimi ilinitoa kwenye A ya O level necta hadi C ya A level necta
 
Physics achana nayo kabisa.. ukiona demu kapata A ya physics au B+ A level huyo ni motoo mzeee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lile somooo lilinipa mateso snaaa khaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa NECTA uliondoka na ngapi mkuu?
 
Nakumbuka nilikuwa naipenda sana physics kiasi kwamba mpaka nimefika form four nikaiacha rasmi lakini ikawa nikipata muda najisomea na kusolve baadhi ya maswali ubaoni na watu wakawa wanaijoy huku wakiniambia "huna lolote physics yenyewe umeikimbia" niliumia kuacha ila nikakaa sawa.

Ila form four nilipata four na ka C kangu ka Bios na kiswahili ila mpaka leo physics kwenye damu kwa sababu gani sjui.....
Mimi pia niliipenda sana japo ilikuwa ngumu.

Nimetumia gharama nyingi kulisoma hilo somo.

Nimetumia muda mwingi pia kulisoma.
 
Namkumbuka mwl wetu wa tuition ya Physics, mtu mzima, mkongwe Mwl Kazibure akitoka Kibaha Secondary kuja kutupiga darsa. Alikuwa njema sana huyu mtu. Ukishindwa kumuelewa Mwl Kazibure, hutakaa umwelewe mwl yeyote hapa duniani. Alale pema peponi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…