Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

Chai.

Yani upasue physics bila kugusa Chand, Roger Muncaster,Nelkon, Tom Dunkan unacheza wewe. Labda physics ya O lev ndo ukomae na review na vijinotes kidogo ndo utapata principle
.
Halafu C ya advance ni 60 sasa upate 60 ya advance physics kwa review na Chand pekee ?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utakachofaidika na Chand ni zile conceptual questions mara nyingi huwa wanatoka mule.

Ila kwa calculations lazima utembee na Muncester au / na Nelkon

Mimi nilikuwa naenda extra miles, nilikuwa nikimalizana na akina Roger nilikuwa naamia kuna kitabu kinaitwa Calculations for adv Phys Volume 1 na Volume 2.

Nelkon ,Tom Duncan, universal phys, abc nilikuwa sivipendi .

Vitabu vyangu vilikuwa Chand, Roger ,Calculations for adv Phys (Volume 1&2), Kitabu Cha Respicious Kiiza, kisha namalizia na Review .

Nelkon nilikuwa naipenda O lev ,Abbot nilikuwa siipendi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Asee
sasa na kwa hiyo sasa unasomea nini hapo chuouni,
 
Back
Top Bottom