Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaalam hiyo ni tissue uko bar.?kwakweli hata mimi nitarudi shule zote lkn sio advance ya PCB!
Biology na Chemistry zinatembea lkn Advanced physics hapana aiseee! Topic kama Magnetism, Adiabatic Expansion! Kwakweli A.physics ni nomaaaa.
Nakumbuka nilotoka jasho kwenye Practical baada ya kukuta pendulum la ajaab, unafunga uzi kwenye rula halafu bob inaning'inia kwa kutengeza umbo la pembe tatu! I wont forget
![]()
Physics A-level ni balaa .mathematics inategemea msingi ulionao kuanzia primary.1: Hivi kati ya pure mathematics na Advanced physics lipi somo gumu???
2: kwanini Hesabu ndo inaonekana ni somo gumu zaidi (ugonjwa wa taifa) na sio physics???
Umenikumbusha mwanangu alipiga bao kwenye somo la Gs akapiga F 😹😹😹😹😹😹 aaah asee na kapiga F peke akePhysics ilinisaliti Necta, katikati ya paper mikono ilikua ina sweat alafu nilipiga hadi bao.....ila for 5 na kabla ya Necta nlikua naimudu vizuri tu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Physics ilinisaliti Necta, katikati ya paper mikono ilikua ina sweat alafu nilipiga hadi bao.....ila for 5 na kabla ya Necta nlikua naimudu vizuri tu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Tatizo hii topic huwa inakusanya concept kutoka topic zingine kama Circular motion, Linear momentum,Gravitational Forces n.kHakuna topic ngumu advance kwenye physics kama projectile motion...mtu akikunja maswali unaweza usipate hata Moja
Kwanini sifa ya mwalimu bingwa Tanzania ni kuwafelisha watu?Mkuu japo mimi ni wa zamani kidogo, umenifanya nimkumbuke mwalimu wangu wa physics, sasa marehemu, Mwalimu Kazibure, sijawahi kutana na mwalimu anajua physics kuliko yule Babu, mtihani wake ukipata 30 wewe ni bingwa wa physics. Alikuwa akikufundisha zile concept unaona kitu kunaingia kwenye damu, siyo hao wa mchikichini wazee wa kukalili tu.
Shida ya PCB Kila somo linajitegemea tofauti na PCM yaani mtu anaweza akajisomea physics jioni, anaenda kuoga na ku-refresh Kwa saa 1 ama nusu saa anarudi anapiga Maths Kwa ku-solve hata papers etc lakini PCB ukijisomea Physics inabidi upumzike kidogo ndo uingie somo linguine ukiwa na energy mpyakwakweli hata mimi nitarudi shule zote lkn sio advance ya PCB!
Biology na Chemistry zinatembea lkn Advanced physics hapana aiseee! Topic kama Magnetism, Adiabatic Expansion! Kwakweli A.physics ni nomaaaa.
Nakumbuka nilotoka jasho kwenye Practical baada ya kukuta pendulum la ajaab, unafunga uzi kwenye rula halafu bob inaning'inia kwa kutengeza umbo la pembe tatu! I wont forget
![]()
Paper za physics ACSEE 2007 zilitisha sanaa![]()
![]()
Wakuu japo sijapost kwenye jukwaa hili kwa miezi kadhaa sasa hivyo naomba mnipokee tena mtaalamu Deadbody
Wakuu najua JF kuna watu wa kila aina ya masomo humu hivyo leo naomba niwakusanye watu wote waliosoma Advanced Physics tuje tukumbushie namna tulivyokuwa tunashangaa ndani ya chumba cha mtihani .
Ngoja nianze mimi aisee kuleta ushuhuda wangu wa kwanza kabisa:
Story inaanzia pale tu kijana Deadbody niliporipoti Advance school mara ya kwanza aisee ambapo nikapokewa kwa furaha sana na watu niliosoma nao Olevel na Primary.
Walinipokea kwa mbembwe sana maana balaa langu walikuwa wanalijua vizuri kuwa Physics na Maths niliumbiwa mimi(hahaha sipo serious hapa).
Nikapokelewa na kuonyeshwa Block nitakaloishi na maisha ya boarding ndio yakaanza rasmi .
TOPIC YA KWANZA KUFUNDISHWA KWA SOMO LA PHYSICS
Kama ilivyomazoea ya shule za advance kuwa walimu hukimbilia kuanza projectile motion,measurements and error hivyo ikawa hivyo hivyo kwa mwwalimu wetu ambaye alikimbilia kuanza na PROJECTILE MOTION.
![]()
Dah aisee nilishangaa sana kuona topic hiyo ikifundishwa ndani ya siku moja na kuisha yote huku ikiwa na formula nyepesi mno kwa mwanafunzi kilaza kama Jesca kuelewa.
Formulas zilikuwa za Range, height ambapo kila nikigusa swali kwenye kitabu cha CHAND linaenda natia tiki ,nikaanza kujiuliza kwanini watu wanasema hii topic ngumu mbona nimesolve maswali yote aiseeee..
Dah nikahitimisha tu kwa kujiona mimi ndio mwamba ,mwamba wa mathematics na sikwami kabisa swali la PROJECTILE MOTION .Wakati najitamba hivyo kumbe washikaji wananichora tu kuwa huyu dogo kaja kwa mbwembwe tumtazame kwanza ataishia wapi.
![]()
Mwendo ukawa ndio ule ule muhuni nikigusa tu maswali ya examples ya mwalimu napasua tena kwa muda mfupi tu.Na kwa jinsi nilivyokuwa na mbwembwe ilikuwa mtu akiniletea swali la projectile naliweka kwenye calculator lote then nikipiga alama ya sawa sawa kitu imooooo.Wenzangu wakawa wananiambia dogo fanya moja moja kupunguza brackets maana zitakuchanganya,ila kwakuwa nataka kuonyesha mimi ni kichwa sichanganywi nikawabishia na kuweka lote.
Aiseee nilikuwa mpenda sifa hatari enzi hizo kushinda hata BASHITE, nikasema likizo hii watanikoma mchikichini huko ndio nitakuwa nasolvia watu kwenye mabanda ya mihogo wakati wa kusubiri pindi
Dah maisha yanaenda kasi sana na hatimaye nikapewa habari njema na mwanangu mmoja hivi kuwa kwa mgote jumamosi ni mtihani wa PROJECTILE MOTION hivyo nenda kawaonyeshe aisee kuwa wewe ni mwamba Dar nzima.Nikajawa na sifa kama kawaida yangu na kuwaza mda wote kuwa jumamosi inachelewa aisee nikafanye maajabu mchikichini huko.
SIKU YA MTIHANI WA PROJECTILE MOTION IKAFIKA
Kwa kujiamini kabisa nikakaa seat ya mbele kabisa maana nilikuwa sitaki mtu anichungulie tusije tukagongana marks tukawa wote wa kwanza wakati mimi nimetumia nguvu kubwa sana na nimekamia show.
Sitasahau hii siku hasa pale nilipoufungua mtihani wa PROJECTILE MOTION na kukutana na Concepts mpya ambazo sijawahi hata kuhisi kama nazo ni projectile aisee.
Kusoma swali hata halina terminologies ngumu kuelewa ila isipokuwa sina cha kuandika baada ya kulielewa lile swali.Hahahah formulas zangu za RANGE na Maximum height zote hazitumiki na ndio nazitegemea sasa hapo.
Ule mtihani na mimi tulikuwa level tofauti kabisa ambapo ni sawa na mwanafunzi wa darasa la kwanza aliyejifunza hesabu za kujumlisha namba zenye tarakimu moja then umtolee hesabu za magazijuto.
Ule mtihani haukuwa standard yangu japo majirani zangu wanaagiza karatasi za kujibia tu baada ya kujaza za mwanzo.Muhuni natamani nisikusanye niondoke hivyo hivyo ila sasa Mgote anayesimamia mtihani ndio kakaa mbele yangu kiasi kwamba hata nikigeuza jicho tu ananiona ,hhahah noma.
Nikakutana na concepts za kitu kina kuwa projected kutoka kwenye gari linaloenda kwa speed fulani na kitu chenyewe kina speed yake aiseee.Wakati huo air unaambia inaspeed yake then natakiwa kutafuta umbali kitakapotua kutokea umbali ambao gari lilikuwepo wakati wa kurushwa.
![]()
Kila nikiangalia naona nashindwa hata kuchora mstari wa range maana kitu kilirushwa kikiwa kwenye height fulani above the ground.
Kiukweli hilo ndio baadae nikaja kugundua lilikuwa swali rahisi kuliko mengine.Hayo mengine ilikuwa balaaa tupu maana hadi ndege wa angani waliokuwa wanatembea walipishana na hiko kitu walichokiproject tena kwa speed tofauti.
Mfano swali lingine lilikuwa linaanzia mbali kinouma kuwa ,ball imeenza kuserereka kwenye umbo lina shape ya U na kuibuka juu na kuendelea na projectile motion na mara gafla ukagongana na body nyingine huko juu hivyo nitafute velocity waliyogongana nayo halafu unapasuka then kipande kimoja kinaondoka kwa speed yake na kingine kwa speed yake (data zingine ziliwekwa)
Hapo ndio Deadbody nikanza kushtuka kuwa hata ndege na hewa zinaweza kutumika kwenye projectile motion kumbe.
![]()
Aisee nilijiona mweupe sana kichwani na hakukuwa na uwezekano wa mimi kupata 1/100 ule mtihani.
Nikasema isiwe shida,maana kukusanya pepa nyeupe ni aibu acha nijitoe ufahamu nitafute range na maximum height ambazo hazijaulizwa nitapate pa kuondokea nyumbani.
Utaratibu ulikuwa simple sana ,yani ukifanya mtihani week hii,majibu yanatoka week ijayo na sikurudi tena huko mpka dk hii napoandika mada hii sijui ule nilipata A au B na sitaki kujua.
NIKAANZA MAISHA MAPYA
Kama principle ilivyokuwa ,ukiona umeshindwa kushinda nao basi ungana nao.Nikaanza kusoma Physics upya mchikichini na nikagundua nilikuwa sijui chochote aisee maana hata circular motion ingeniumbua.
Dah ngoja niishie hapa aisee maana mzuka ukipanda nitaanza kutoa matusi humu kuhusu Newton Rings (Wave 2 ) na madude ya mule..
NAJUA WATU KAMA MIMI WAPO WENGI HUMU,NAOMBA LEO TUJARIBU KUKUMBUSHIA HUYU MNYAMA 'PHYSICS'
KARIBUNI
![]()
Chai.Physics ukisoma chand na physics review necta hukosi principle C kuendelea......ttzo watu wanakomaa na mavitu magumu hafu vitu vyepesi hawajui wakati necta maswali yao yapo wazi ni mepesi ndo maana privte wanapasua kila siku.
Kijisubtopic Cha ajabu sana. Kifupi lakini balaa lake Sasa.Tatizo hii topic huwa inakusanya concept kutoka topic zingine kama Circular motion, Linear momentum,Gravitational Forces n.k
Sasa kama uko shake kwenye mojawapo ya kitopic kilichounganishwa hapo, lazima ukae chini, hutoboi hilo swali
PChai.
Yani upasue physics bila kugusa Chand, Roger Muncaster,Nelkon, Tom Dunkan unacheza wewe. Labda physics ya O lev ndo ukomae na review na vijinotes kidogo ndo utapata principle
.
Halafu C ya advance ni 60 sasa upate 60 ya advance physics kwa review na Chand pekee ?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mie nakumbuka naingia kwenye pepa najua swali moja tu na kila nikigeuka nyuma ticha huyo nilichoamua kukifanya ni kuanza kuyaandika maswali tu upya kwenye karatasi mpka pepa inaisha.![]()