Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mfano chuo kipi na kozi ipi?Naomba kuulza jinsi ya kusoma advanced diploma ukitokea kidato Cha sita unatakiwa uwe credit gani au vigezo gani ukitokea form six
Chuo chochote mkuu naulzia vigezo tu.
Ilishafutwa hiiNaomba kuulza jinsi ya kusoma advanced diploma ukitokea kidato Cha sita unatakiwa uwe credit gani au vigezo gani ukitokea form six
point tatu hafi mbili.au subsidiary mbiliNaomba kuulza jinsi ya kusoma advanced diploma ukitokea kidato Cha sita unatakiwa uwe credit gani au vigezo gani ukitokea form six
first degree kivipi mkuuHaijafutwa ila kigezo ni lazima uwe na 1st degree huwez ingia na ACSEE pekee
Kipi hujaelewa hapo kuhusu first degree aya uwe na bachelorfirst degree kivipi mkuu
Yuh cant join adv diploma directly after finishing form six u hv to have a diploma in that specific field and the requirements required
Naomba unieleweshe mkuu.kwa sababu huyu nae haeleweki.Wewe unaongelea postgraduate diploma sisi tunaongelea advanced diploma
Postgraduate Diploma kuisoma ni lazima uwe graduate, yaani uwe na Bachelors degree au Advanced Diploma (ndio maana ya neno post-). Advanced Diploma kimsingi qualifications za kujiunga hazina tofauti na za bachelors degree, lakini kwa historia tu ya nchi yetu ni kwamba ilikuwapo kabla vyuo vya elimu ya juu vinavyotoa degree havijawa vingi nchini. Baada ya mikopo kuanza kutolewa kwa kila mwenye minimum qualifications, vyuo vikaongezeka na kila kimoja kikawa kinatoa degree, Advanced Diploma ikaondolewa na NACTE, badala yake ukaanzishwa mfumo wa National Higher Diploma inayotolewa kufuata NTA LevelsNaomba unieleweshe mkuu.kwa sababu huyu nae haeleweki. Vipi postgraduate diploma inakaa vipi? na advanced diploma iko vipi?
Safi kabisa.excellentPostgraduate Diploma kuisoma ni lazima uwe graduate, yaani uwe na Bachelors degree au Advanced Diploma (ndio maana ya neno post-). Advanced Diploma kimsingi qualifications za kujiunga hazina tofauti na za bachelors degree, lakini kwa historia tu ya nchi yetu ni kwamba ilikuwapo kabla vyuo vya elimu ya juu vinavyotoa degree havijawa vingi nchini. Baada ya mikopo kuanza kutolewa kwa kila mwenye minimum qualifications, vyuo vikaongezeka na kila kimoja kikawa kinatoa degree, Advanced Diploma ikaondolewa na NACTE, badala yake ukaanzishwa mfumo wa National Higher Diploma inayotolewa kufuata NTA Levels