TAECOLTD
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 1,051
- 1,836
Safiiiiiii mkuu pata bia naja kulipa... Advanced diploma ilishafutwa, for example ifm walikua wanatoa hiyo ila now ni degree only...Postgraduate Diploma kuisoma ni lazima uwe graduate, yaani uwe na Bachelors degree au Advanced Diploma (ndio maana ya neno post-). Advanced Diploma kimsingi qualifications za kujiunga hazina tofauti na za bachelors degree, lakini kwa historia tu ya nchi yetu ni kwamba ilikuwapo kabla vyuo vya elimu ya juu vinavyotoa degree havijawa vingi nchini. Baada ya mikopo kuanza kutolewa kwa kila mwenye minimum qualifications, vyuo vikaongezeka na kila kimoja kikawa kinatoa degree, Advanced Diploma ikaondolewa na NACTE, badala yake ukaanzishwa mfumo wa National Higher Diploma inayotolewa kufuata NTA Levels
Postgraduate diploma ni baada ya kumaliza degree ya kwanza