Advans bank!!

kweli jamaa ni noma.lkn interview nyingi zinakuwa gagari watu wanakuwa wameshaandaliwa
 
Wana Matawi wawili tu Tanzania. Moja liko Manzese na la pili kariakoo zaidi ya hapo hamna kitu. Kuwa makini nao inaonekana wazushi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…