combra Senior Member Joined May 28, 2012 Posts 130 Reaction score 31 May 29, 2012 #21 kweli jamaa ni noma.lkn interview nyingi zinakuwa gagari watu wanakuwa wameshaandaliwa
M mzee wa njaa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 1,363 Reaction score 223 May 29, 2012 #22 Wana Matawi wawili tu Tanzania. Moja liko Manzese na la pili kariakoo zaidi ya hapo hamna kitu. Kuwa makini nao inaonekana wazushi tu.
Wana Matawi wawili tu Tanzania. Moja liko Manzese na la pili kariakoo zaidi ya hapo hamna kitu. Kuwa makini nao inaonekana wazushi tu.