fazaa
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 2,984
- 1,031
Kabisa kabisa hasa hao wasio olewa lazima watafute sababu ya kujitetea, si unajua tena wanawake huwa hawakosi maneno.Hapa kila mtu atatetea upande wake tu.....
Wataishia hivyo hivyo duniani kila kukicha, wasichana wana zaliwa ni wengi sana kuliko wanaume, nafasi zao ziko hatarini sana kubebwa na vi babes.