Mkuu huwa sipendi Kuchangia Thread za aina hii, ila nimejikuta inabidi kuchangia,
Mkuu Bashara si lele mama, hilo tambua, na pili biashara maana yake ni kwa ajili ya Feature yako ya baadae, so haihitaji mzaha au kujaribu au kufanya sijui nini,
Unapo taka kuanzisha biashar kaa chini na njoo na wazo ambalo nina uhakika mawazo ya biashara hata ni mengi sana, na wazo bor la biashara ni lile unalo kaa na kupata wewe mwenyewe,
Ukishindwa kukaa chini kuumiza kichwa kupata wazo bora unalo penda basi hata biashara kuendesha hutaweza belive me, mkuu, unaweza rudu kutuuliza sasa niuze vipi,
Inauma sana sisi Watnzania kupoteza muda kuanzishabiashara na baasa ya mwaka au mwezi unakuta hiyo biashara kaacha karukia nyingine tena kaacha karukia nyingine,
So unapo kuwa umekuja na either wazo la bishara jiulize mara mbilimbili
1. Unataka kuazisha biashara ya Bajiji au Transport- Jiulize je unaplan ya kufika wapi na hii biashara, je una mpango baadae upanue ununue Hice, baadae Costa, na mpaka kuja kumilikia tren zako mwenye one day? Au ni zima mota? so jilize sana, hain maana kupoteza muda kufanya biashra na baada ya miwezi mitano umeacha uko kwingine
2. Unataka Kufuga-Je ndoto zako ni kufika wapi n ufugaji? Unataka kuja kuwa nani katika swala zima la Kufuga hapa Tanzania au kwnye mkoa wako?
3. Hoteli- Jiulize baada ya muda fulani utakuwa wapi? Unataka baada ya miaka 15 uwe na migahawa East and Centre Africa? au nini ndoto zako
4. Kilimo- Unataka kulima, Mahindi au Matunda- Je nini plan zako nakilimo cha Mahindi? Unataka kufikia mahali umiliki Kiwanda chako cha kuprocess? au ndo unataka kulima upate pesa then ujenge nyumba za kupangish na inakuwa ndo mwisho wa story?
SO KWA KILA AINA YA BIASHARA UNAYO TAKA KUANZISHA LEO HII JIULIZE MASWAL MENGI SANA KABLA YA KUANZA, NA UNAPO INGIA HAKIKISHA SAFARI YAKO INAAZIA HAPO NA HUTARDI NYUMA, NA WTU HAWATAKUONA NDANI YA MWAKA MMOJA USHA FANYA BIASHAR 10 TOFAUTI NA KUZIACHA ZOTE,
Unawza anza trasnport business na Guta na ukja kumiki Kmapuni kubwa kabisa africa kwa maswala ya kusafirisha mizigo, Ila ndo kama hivyo tunakosa Maono,