ADVICE:nina ml 6.5 biashara gani nzuri itakayonizungushi pesa yangu na faida nzuri

ADVICE:nina ml 6.5 biashara gani nzuri itakayonizungushi pesa yangu na faida nzuri

Mkuu huwa sipendi Kuchangia Thread za aina hii, ila nimejikuta inabidi kuchangia,

Mkuu Biashara si lele mama, hilo tambua, na pili biashara maana yake ni kwa ajili ya Feature yako ya baadae, so haihitaji mzaha au kujaribu au kufanya sijui nini,

Unapo taka kuanzisha biashara kaa chini na njoo na wazo ambalo nina uhakika mawazo ya biashara ni mengi sana, na wazo bora la biashara ni lile unalo ume kaa na kupata wewe mwenyewe,( We ndo mwenye best business Idea)

Ukishindwa kukaa chini kuumiza kichwa kupata wazo bora unalo penda basi hata biashara kuendesha hutaweza belive me, mkuu, unaweza rudu kutuuliza sasa niuze vipi,

Na msingi wa biashara ni wazo bora, na biahara huan kufa au kunawili kwenye wazo

Inauma sana sisi Watnzania kupoteza muda kuanzisha biashara na baada ya mwaka au mwezi unakuta hiyo biashara kaacha karukia nyingine tena kaacha karukia nyingine,

So unapo kuwa umekuja na either wazo la bishara jiulize mara mbilimbili

1. Unataka kuazisha biashara ya Bajiji au Transport- Jiulize je unaplan ya kufika wapi na hii biashara, je una mpango baadae upanue ununue Hice, baadae Costa, na mpaka kuja kumilikia tren zako mwenye one day? Au ni zima mota? so jilize sana, hain maana kupoteza muda kufanya biashra na baada ya miwezi mitano umeacha uko kwingine

2. Unataka Kufuga-Je ndoto zako ni kufika wapi n ufugaji? Unataka kuja kuwa nani katika swala zima la Kufuga hapa Tanzania au kwnye mkoa wako?

3. Hoteli- Jiulize baada ya muda fulani utakuwa wapi? Unataka baada ya miaka 15 uwe na migahawa East and Centre Africa? au nini ndoto zako

4. Kilimo- Unataka kulima, Mahindi au Matunda- Je nini plan zako nakilimo cha Mahindi? Unataka kufikia mahali umiliki Kiwanda chako cha kuprocess? au ndo unataka kulima upate pesa then ujenge nyumba za kupangisha na inakuwa ndo mwisho wa story?

SO KWA KILA AINA YA BIASHARA UNAYO TAKA KUANZISHA LEO HII JIULIZE MASWAL MENGI SANA KABLA YA KUANZA, NA UNAPO INGIA HAKIKISHA SAFARI YAKO INAAZIA HAPO NA HUTARDI NYUMA, NA WTU HAWATAKUONA NDANI YA MWAKA MMOJA USHA FANYA BIASHAR 10 TOFAUTI NA KUZIACHA ZOTE,

Unaweza anza trasnport business na Guta na ukja kumiki Kmapuni kubwa kabisa africa kwa maswala ya kusafirisha mizigo, Ila ndo kama hivyo tunakosa Maono
,
Yes, here we go....... now we are the home of Great Thinkers... BRAVO
 
dah!nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri sana mkuu kwa hakika nitaufanyia kazi asilimia 95
iyo biashara ni pasua kichwa labda kama dereva ni wewe mwenyewe utaletewa hesabu miezi miwili au mitatu ya kwanza miezi mingine utajuta mi nnayo pikipiki nimempa mtu dah we acha inataka moyo mara imedakwa na polisi mara imepata ajali lakini nisikukatishe tamaa inategemea na uliyempa
 
hi friends,nina kiasi cha sh million 6.5 ninataka kufanya biashara bt cjajua ni biasha gani nifanye,bt kwa upande mwingene na kwautafiti niliofanya nilitaka kununua bajaji izunguke mjini,so wenye uzoefu juu ya biashara naombeni ushauri wenu,na wenye biashara ya bajaji ushauri wenu ni muhimu pia,

Ningependa kukushauri biashara fulan, lakin pengine kwanza nijulishe yafuatayo'!

unaishi wap? Je kunakizuizi kwako kuhama hapo ulipo na kwenda kwingineko kwaajili ya biashara? Je kama hutaweza kutoka mahala ulipo ungekua tayari kuingia ubia na mtu mwingine?
 
Back
Top Bottom