Advice please.

Advice please.

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,149
Reaction score
3,825
Habari yako mwana-JF?

Nataka kujihusisha na ukopeshaji wa fedha kwa ngazi ya chini (yaani Tshs. 50.000-Tshs.200,000), ningependa kujua kwa ukopeshaji huu, ni utaratibu gani utumike ili nifanye shughuli hii kwa ufanisi zaidi? Haswa katika kuhakikisha fedha inarudi kwa wakati? je, nitengeneze mkataba? au shaidi? maana kimsingi BLERA hawanitambui na mkataba wa makubaliano sijauunda.

Ushauri tafadhali.
 
Back
Top Bottom