Katikomile
JF-Expert Member
- Jul 12, 2007
- 471
- 74
Ni mkwe au vijana wao ndio wameoana? Poleni wafiwa wote.RIP Mkwe wa Mkapa
RIP Mkwe wa Mkapa
Mimi sijajua huyu jamaa ni nani mpaka aje huku ajadiliwe au ndio Fisadi kama mafisadi wengine??
Mimi sijajua huyu jamaa ni nani mpaka aje huku ajadiliwe au ndio Fisadi kama mafisadi wengine??
Juma baya kwa learned brothers. Naye Advocate Cecil Marama, shemeji yake Philip Magani, kafariki mwanzo wa wiki kwa ajali ya gari.
Mwenyezi Mungu awalaze mahala pema peponi.