Advocate Joe Mbuna afariki dunia

Advocate Joe Mbuna afariki dunia

Katikomile

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2007
Posts
471
Reaction score
74
Kuna tetesi kwamba yule mkwe wa Mkapa na one of the shareholder wa Kiwira/Tanpower Resources amefariki dunia huko India alikokuwa kwa matibabu, bado ni tetesi sijaconfirm, nimeona niilete hapa mweye habari zaidi aturushie.
 
Du nami nimesikia poleni sana sana.....wafiwa ndugu jamaa na marafiki....
 
RIP Adv. Mbuna.....poleni sana wafiwa
 
Juma baya kwa learned brothers. Naye Advocate Cecil Marama, shemeji yake Philip Magani, kafariki mwanzo wa wiki kwa ajali ya gari.

Mwenyezi Mungu awalaze mahala pema peponi.
 
Mimi sijajua huyu jamaa ni nani mpaka aje huku ajadiliwe au ndio Fisadi kama mafisadi wengine??
 
Mimi sijajua huyu jamaa ni nani mpaka aje huku ajadiliwe au ndio Fisadi kama mafisadi wengine??

Mkuu mtu kasha fariki so let him be. Mtu kafa bado unamuaccuse bila ushahidi? Kama hauna kizuri cha kusema just hold your peace mkuu.
 
Mimi sijajua huyu jamaa ni nani mpaka aje huku ajadiliwe au ndio Fisadi kama mafisadi wengine??

........would you please be kind enough to just leave this thread alone............ Mods watakapoona inafaa kuhamishwa watahamisha..........huwezi kuwa unamjua kila mtu.......

RIP Mbuna
 
Bwana Alitoa Bwana Ametwaa.

Tujifunze Kuziehesabu siku zetu tuliobaki.

Poleni wafiwa.
 
Juma baya kwa learned brothers. Naye Advocate Cecil Marama, shemeji yake Philip Magani, kafariki mwanzo wa wiki kwa ajali ya gari.

Mwenyezi Mungu awalaze mahala pema peponi.

Poleni sana wafiwa, na Ni Advocate Cecil Maruma ,such a brilliant lawyer na alikuwa anapractice Moshi na Arusha, atazikwa Rombo Jumamosi hii.
 
R.I.P Learned Braza. Du!!!!!!! His death is many steps behind!!!!!
 
Back
Top Bottom