Kama anajiweza aende mechanical ingawa ni ngumu saana ila akimaliza aende aircraft engineer atcl au popote kampuninziko kibao sasa ......utanishukuru baada 4 yrs .......ila ngumu msuli wa kiume haswaa.......Wakuu najua ajira ni ngumu sana. Ila walau ushauri kwa wajuvi, penye nafuu kiajira baada ya kuhitimu. nina dogo matokeo yake ni one ya sita PCM, aende.
Civil
Mechanical
Electtical
Mineral
Data science.
Au kozi ingine yeyote yenye soko baada ya kuhitimu iwe kujiajiri au kuajiriwa.
Natanguliza shukrani
mechanical au Electrical
asome anachopenda
Wakuu najua ajira ni ngumu sana. Ila walau ushauri kwa wajuvi, penye nafuu kiajira baada ya kuhitimu. nina dogo matokeo yake ni one ya sita PCM, aende.
Civil
Mechanical
Electtical
Mineral
Data science.
Au kozi ingine yeyote yenye soko baada ya kuhitimu iwe kujiajiri au kuajiriwa.
Natanguliza shukrani
Ahsante mkuu kwa mchangoKwa degree zetu za kibongo...
Civil Engineer = Wengi huzidiwa ujuzi na fundi ujenzi mwenye miaka 5 kazini...(tunao,tunawaona daily)
Mechanical Engineer(Atategemea kuajiriwa viwandani) anazidiwa kila kitu na fundi wa kawaida(Full technician)
Electrical Engineer ( atategemea aajiriwe) 99% hawajui umeme wa kawaida ama umeme hata wa magari!
Mineral Processing ( huyu nae anasubiri aaajiliwe migodini tu-ama viwandani)
Data science. (Huyu atategemea aajiriwe serikalini ama taasisi)
Soko la ajira ni gumu sana...na la ushindani kwa wachache kama hauna connection!
Ningekuwa mimi...ningemshauri a cancel uinjinia...aingie kwenye UTABIBU kama hana connection
TUpo nao kwenye chaki hukuGame Iko rigged now engineering unamalza unakutana na salary za 400k
Akasome electrical and electronics engineering.Wakuu najua ajira ni ngumu sana. Ila walau ushauri kwa wajuvi, penye nafuu kiajira baada ya kuhitimu. nina dogo matokeo yake ni one ya sita PCM, aende.
Civil
Mechanical
Electtical
Mineral
Data science.
Au kozi ingine yeyote yenye soko baada ya kuhitimu iwe kujiajiri au kuajiriwa.
Natanguliza shukrani