NYOLODO
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 12,206
- 27,987
That is not salary, that is shit!Game Iko rigged now engineering unamalza unakutana na salary za 400k
That is not salary, that is shit!Game Iko rigged now engineering unamalza unakutana na salary za 400k
Electrical iwe first prioritymechanical au Electrical
Maisha ya sasa unaweka lengo usome ili upate ajira? Kwa nini isiwe ''kusoma ili uweze kuendesha maisha''?Wakuu najua ajira ni ngumu sana. Ila walau ushauri kwa wajuvi, penye nafuu kiajira baada ya kuhitimu. nina dogo matokeo yake ni one ya sita PCM, aende.
Civil
Mechanical
Electtical
Mineral
Data science.
Au kozi ingine yeyote yenye soko baada ya kuhitimu iwe kujiajiri au kuajiriwa.
Natanguliza shukrani
Wakuu najua ajira ni ngumu sana. Ila walau ushauri kwa wajuvi, penye nafuu kiajira baada ya kuhitimu. nina dogo matokeo yake ni one ya sita PCM, aende.
Civil
Mechanical
Electtical
Mineral
Data science.
Au kozi ingine yeyote yenye soko baada ya kuhitimu iwe kujiajiri au kuajiriwa.
Natanguliza shukrani
Siyo kweli. Engineers wengi wa fani hiyo kajamba nane tu kama walimu tuCivil au electrical naona watu wanapiga sana pesa huko.
Hailipi. Ataishia kulia tu. Data Science ndiyo mpango mzimaMwambie aende biomedical engeneer itamlipa
Na wao njaa Kali tuAkasome electrical and electronics engineering.
Aelewe sana mwambie elimu ni maarifa sio makaratasi.
Kati ya Tanzania wenye akili nchi hii ni wewe .Nimekuelewa sanaKwa degree zetu za kibongo...
Civil Engineer = Wengi huzidiwa ujuzi na fundi ujenzi mwenye miaka 5 kazini...(tunao,tunawaona daily)
Mechanical Engineer(Atategemea kuajiriwa viwandani) anazidiwa kila kitu na fundi wa kawaida(Full technician)
Electrical Engineer ( atategemea aajiriwe) 99% hawajui umeme wa kawaida ama umeme hata wa magari!
Mineral Processing ( huyu nae anasubiri aaajiliwe migodini tu-ama viwandani)
Data science. (Huyu atategemea aajiriwe serikalini ama taasisi)
Soko la ajira ni gumu sana...na la ushindani kwa wachache kama hauna connection!
Ningekuwa mimi...ningemshauri a cancel uinjinia...aingie kwenye UTABIBU kama hana connection
St.Joseph UniversityInatolewa chuo Gani hi mkuu?
Environment Engineering pia inalipaKwa degree zetu za kibongo...
Civil Engineer = Wengi huzidiwa ujuzi na fundi ujenzi mwenye miaka 5 kazini...(tunao,tunawaona daily)
Mechanical Engineer(Atategemea kuajiriwa viwandani) anazidiwa kila kitu na fundi wa kawaida(Full technician)
Electrical Engineer ( atategemea aajiriwe) 99% hawajui umeme wa kawaida ama umeme hata wa magari!
Mineral Processing ( huyu nae anasubiri aaajiliwe migodini tu-ama viwandani)
Data science. (Huyu atategemea aajiriwe serikalini ama taasisi)
Soko la ajira ni gumu sana...na la ushindani kwa wachache kama hauna connection!
Ningekuwa mimi...ningemshauri a cancel uinjinia...aingie kwenye UTABIBU kama hana connection
Data Science, Statistics, Actuarial science zitamfaa, siku hizi kuajiliwa ni bahati, connection na skills & experience tu, asome kitu anachokipenda atafaulu vizuri.Nilimuuliza talent yake iko wapi hasa, na ambacho angependa kukisomea, kaishia kuniambia Mathematics.
Ila elimu yetu ineharibiwa sana aisee, imagine dogo anakwambia yeye anataka kitu ambacho atapata connection ya kazi akimaliza, yeye atasoma ichoicho.
Hizo ulizotaja zote hapo ni nzuri. Hapo cha muhimu ni kujua yeye moyoni anataka nini? Ili akichagua moyo wake uridhike huku anasomea kitu anapenda. Aachane na kusoma huku anafikiria atapata ajira au laah...Wakuu najua ajira ni ngumu sana. Ila walau ushauri kwa wajuvi, penye nafuu kiajira baada ya kuhitimu. nina dogo matokeo yake ni one ya sita PCM, aende.
Civil
Mechanical
Electtical
Mineral
Data science.
Au kozi ingine yeyote yenye soko baada ya kuhitimu iwe kujiajiri au kuajiriwa.
Natanguliza shukrani
Mtu aliyesoma pcm anaweza kuwa tabibu?Kwa degree zetu za kibongo...
Civil Engineer = Wengi huzidiwa ujuzi na fundi ujenzi mwenye miaka 5 kazini...(tunao,tunawaona daily)
Mechanical Engineer(Atategemea kuajiriwa viwandani) anazidiwa kila kitu na fundi wa kawaida(Full technician)
Electrical Engineer ( atategemea aajiriwe) 99% hawajui umeme wa kawaida ama umeme hata wa magari!
Mineral Processing ( huyu nae anasubiri aaajiliwe migodini tu-ama viwandani)
Data science. (Huyu atategemea aajiriwe serikalini ama taasisi)
Soko la ajira ni gumu sana...na la ushindani kwa wachache kama hauna connection!
Ningekuwa mimi...ningemshauri a cancel uinjinia...aingie kwenye UTABIBU kama hana connection
Ahsante sana mkuuHizo ulizotaja zote hapo ni nzuri. Hapo cha muhimu ni kujua yeye moyoni anataka nini? Ili akichagua moyo wake uridhike huku anasomea kitu anapenda. Aachane na kusoma huku anafikiria atapata ajira au laah...
Kwa ushauri ningempa
1. Mechanical engineering
2. Electrical engineering
3. Civil upande wa buildings....
4. Data science
5. Mineral...
Bongo hapana.Mtu aliyesoma pcm anaweza kuwa tabibu?
Oh hapo sawa! Nilikuwa napitia nikaielewa hiyo post coz mdogo wangu ana matokea kama haya!Bongo hapana.
Ila nje YES, PCM wanasoma kozi za afya pia
Inawezekana, lakini anahitaji aongeze au ajifunze Biology ili akidhi vigezo vya udaktari.Mtu aliyesoma pcm anaweza kuwa tabibu?