Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Duh sasa si angesoma Pcb tu!Inawezekana, lakini anahitaji aongeze au ajifunze Biology ili akidhi vigezo vya udaktari.
Duh sasa si angesoma Pcb tu!Inawezekana, lakini anahitaji aongeze au ajifunze Biology ili akidhi vigezo vya udaktari.
Kama wenye D 2 wanaruhusiwa vyuo vya tiba, iweje mwenye Msingi wa Kemia asiruhusiwe, kwasababu ana basic ya biology?....atatakiwa asome Bios kama somo la ziadaBongo hapana.
Ila nje YES, PCM wanasoma kozi za afya pia
Kama wenye D 2 wanaruhusiwa vyuo vya tiba, iweje mwenye Msingi wa Kemia asiruhusiwe, kwasababu ana basic ya biology?....atatakiwa asome Bios kama somo la ziada
Inawezekana, lakini anahitaji aongeze au ajifunze Biology ili akidhi vigezo vya udaktari.
Sawa mkuu nilitoa opinion based on circle yangu ya maisha.Siyo kweli. Engineers wengi wa fani hiyo kajamba nane tu kama walimu tu
hapo ndio shida ilipo!Nilimuuliza talent yake iko wapi hasa, na ambacho angependa kukisomea, kaishia kuniambia Mathematics.
Ila elimu yetu ineharibiwa sana aisee, imagine dogo anakwambia yeye anataka kitu ambacho atapata connection ya kazi akimaliza, yeye atasoma ichoicho.
Kwahiyo kijana apoteze muda kusomea data. Asome engineering, data science asome kama short course.Mineral na hizi leseni zetu za uchimbaji za magumashi, aachane nayo...Data Science ndiyo mpango mzima...hii ukiisoma na ukaingia kwenye sekta ya FinTech...mbona hata Elon Musk atakuajiri utapiga hela
Elon Musk kawekeza $ 1.5 Trillion katika Data Science kwa miaka 20 ijayo. Fursa hiyo
Yule mwongo ajira hazipo.Asome Data Science yule mama wa NMB alishawaaambia ajira ziko bwerere kwenye mabenki,ingawa naye SI wa kumuamini sana au afate anachopenda tu.
Ndio anaweza kuchukua Biomedical Scisnce ni nzuri sana kwa PCM.Mtu aliyesoma pcm anaweza kuwa tabibu?
Data Science asome kama short course.Mineral na hizi leseni zetu za uchimbaji za magumashi, aachane nayo...Data Science ndiyo mpango mzima...hii ukiisoma na ukaingia kwenye sekta ya FinTech...mbona hata Elon Musk atakuajiri utapiga hela
Elon Musk kawekeza $ 1.5 Trillion katika Data Science kwa miaka 20 ijayo. Fursa hiyo
Acha kumsomesha hizi traditional degree... Tafuta Degree ya Mechatronics ndio akasome. hii course nlikua naikubari sana lakini nikaenda electronics engineering udsm kwasababu
Hii course nlikua naikubari sanaa nkaenda electronics engineering udsm nkijua itakua hivi coz n electronics pure sio electronics and telecommunication kama dit au electronics and electrical kama must lakini nmekuta udsm nako imebase kwenye telecom zaidi najitahidi kutafuta chance nihamie kweny instrumentation and automation ili nirud kweny hii faniAcha kumsomesha hizi traditional degree... Tafuta Degree ya Mechatronics ndio akasome.
Wanatoa chuo gani?Ndio anaweza kuchukua Biomedical Scisnce ni nzuri sana kwa PCM.
1. Civil EngineeringWakuu najua ajira ni ngumu sana. Ila walau ushauri kwa wajuvi, penye nafuu kiajira baada ya kuhitimu. nina dogo matokeo yake ni one ya sita PCM, aende.
Civil
Mechanical
Electtical
Mineral
Data science.
Au kozi ingine yeyote yenye soko baada ya kuhitimu iwe kujiajiri au kuajiriwa.
Natanguliza shukrani
UDSM ipo.Inatolewa chuo Gani hi mkuu?
Kwahiyo ajira haiendeshi maisha!!!???Maisha ya sasa unaweka lengo usome ili upate ajira? Kwa nini isiwe ''kusoma ili uweze kuendesha maisha''?
DITWanatoa chuo gani?
Sawa asante!
Hii haihitaji biology ?Ndio anaweza kuchukua Biomedical Scisnce ni nzuri sana kwa PCM.
Mantiki yangu ni kwamba kuajiriwa ni moja ya option ndogo kwenye kuendesha maisha.Ukilenga ajira tu unakuwa ni kama una-limit option zako. Chagua wigo mpana zaidi ili hata kama ajira ikiwa adimu unakuwa na option nyingine. Mfano unaweza kulenga shahada ambayo sasa hivi ajira nyingi lakini baada ya miaka kadhaa technology/mazingira yakafanya ajira kuwa ngumu.... kama ulikuwa umewekeza lengo kwenye ajira tu, unakwama. Mkuu, ajira ni jambo linalozidi kuwa gumu hasa kwa sababu ya ujio wa AI, hata Ulaya sasa hivi watu wanafanya shughuli tofauti na walizosomea.Kwahiyo ajira haiendeshi maisha!!!???