Mambaz 24 jr
JF-Expert Member
- Aug 25, 2023
- 696
- 1,424
Telecommunication and electronics mwamvie asomee hio
Aaah okaySt.Joseph University
sasa kwanini asiende air Craft Enginnering moja kwa moja badala ya kwenda Mechanical kwanza.Kama anajiweza aende mechanical ingawa ni ngumu saana ila akimaliza aende aircraft engineer atcl au popote kampuninziko kibao sasa ......utanishukuru baada 4 yrs .......ila ngumu msuli wa kiume haswaa.......
🤣🤣ila ushauri mwingnAkasomee degree ya uchawa
Kwa bongo hii mwenye D mbili ikiwa ya physics hata kama ana Div Iv anaruhusiwa kusoma Diploma in Clinical Medicine na baadaye anaruhusiwa kusoma MD kupitia cheti chake cha Diploma lakini mwenye Div one ya 3 ya PCM hata kama O-level alikuwa na A zote haruhusiwi kusomea MD.Kama wenye D 2 wanaruhusiwa vyuo vya tiba, iweje mwenye Msingi wa Kemia asiruhusiwe, kwasababu ana basic ya biology?....atatakiwa asome Bios kama somo la ziada
Data scientists ni taaluma kama ilivyo Engineering.Linear algebra, probability, statistics na calculus hizi zote zipo kwa mtu anayesoma kozi zifuatazo:
1. Bachelor of Mathematics
2. Bachelor of Physics
3. Bachelor of Computer Science
4. Bachelor of Engineering
Kwa hiyo Datance inapaswa kuwa course ndani ya kozi hizo.
Ni sawa pia.....ingawa anaongeza uwanja wake unakuwa mpana zaidi.....yote ni sawa sawasasa kwanini asiende air Craft Enginnering moja kwa moja badala ya kwenda Mechanical kwanza.
Mexter juice unamfahamu yule dogo wa Instagram aliemalizia NITmechanical au Electrical
HapanaMexter juice unamfahamu yule dogo wa Instagram aliemalizia NIT
Uje search Instagram kasomea kozi mnazo sema ni rahisi kuajiriwa acheni tu maisha haya, haamini Yuko anatembeza juice kijana asome anacho penda yeye itakua simple kumove on kuliko cha kishauriwa, MUNGU ni wetu sote ata mbariki tuHapana
Sasa kama ajira zipo mbona vijana wapo mtaani wa hivo kama yupo karibu una muwasha kibaoYule mwongo ajira hazipo.
Mtaani kugumuMaisha ya sasa unaweka lengo usome ili upate ajira? Kwa nini isiwe ''kusoma ili uweze kuendesha maisha''?
Mzazi usiruhu mtoto wako akawa anasoma hivi vitu vinaitwa AI track, AI enabled, hizi ni marketing terms1. BE Civil Engineering with Specialization in AI and ML
2. AI-Integrated Civil Engineering track
3. AI Engineering Bachelor with tracks including Mechanical/Computational Engineering
4. BS Mechanical Engineering + MS Artificial Intelligence
5. Bachelor of Engineering in Civil Engineering with Second Major in Data Analytics.
6. BS Electrical Engineering – Machine Learning and Data Science option
7. BS Electrical Engineering with Machine Learning Concentration
8. BS Artificial Intelligence Engineering
9. Electrical Engineering with Secondary Major in Artificial Intelligence and Data Analytics
10. B.Tech Electrical and Electronics Engineering with Specialization in AI and ML
11. B.Tech Electrical Engineering – AI and ML Applications
12. AI-Integrated Electrical Engineering track
1. BE Civil Engineering with Specialization in AI and ML