Aende TARURA. Halmashauri kazi zipo tu, akizitaka atazikuta baadaye.WanaJF! Kwema? Moja kwa moja niende kwenye Mada.
Mdogo wangu kapata kazi ya Uhandisi ya Mkataba TARURA ila pia kapata Kazi Permenent HALMASHAURI.
TARURA atapata kama 2M na marupurpu mengine kwa anabyodai Wakati Halmashauri ni 1M pia kwa ufatiliaji wake Halmashauri marupuru ni kwa manati.
Yuko njia panda, check number anaitaka ila pia anaogopa kujiingiza Halmashauri asije kupotea kule na ugumu wa Maisha pia.
Mkataba una faida ya kimaslahi kwa sasa ila anaogopa consequences zake kama kusitishiwa, kutopanda daraja na pia kuwa na zero chances ya kuwa kiongozi unless mkataba ufanywe permenent.
Na Je asiporipoti kuna consequences zipi za ki utumishi? Ataruhusiwa kuendelea kuomba na kupangwa wakati ujao?
Watalaam leteni mawazo yenu.
Mkuu baadaye utumishi hawatamzingua katika kuomba kazi? System si itakuwa inamuona kama mtu ambaye alishapewaga PlacementAende TARURA. Halmashauri kazi zipo tu, akizitaka atazikuta baadaye.
Lakini pia TARURA ni semi autonomy ila iko chini ya Halmashauri hizo hizo.
As long as hana check namba ninavyojua haiwezi kusumbuaMkuu baadaye utumishi hawatamzingua katika kuomba kazi? System si itakuwa inamuona kama mtu ambaye alishapewaga Placement
Kuhama siyo rahisiAende Halmashauri apate check namba baadae atafanya mchakato wa kuhama kwenda Tarura
HALMASHAURI, ANAWEZA AKAHAMA KUTOKA HUKO AKAENDA TARURA KAMA ANAPENDA TARURA CHA CHECK NUMBER YAKEWanaJF! Kwema? Moja kwa moja niende kwenye Mada.
Mdogo wangu kapata kazi ya Uhandisi ya Mkataba TARURA ila pia kapata Kazi Permenent HALMASHAURI.
TARURA atapata kama 2M na marupurpu mengine kwa anabyodai Wakati Halmashauri ni 1M pia kwa ufatiliaji wake Halmashauri marupuru ni kwa manati.
Yuko njia panda, check number anaitaka ila pia anaogopa kujiingiza Halmashauri asije kupotea kule na ugumu wa Maisha pia.
Mkataba una faida ya kimaslahi kwa sasa ila anaogopa consequences zake kama kusitishiwa, kutopanda daraja na pia kuwa na zero chances ya kuwa kiongozi unless mkataba ufanywe permenent.
Na Je asiporipoti kuna consequences zipi za ki utumishi? Ataruhusiwa kuendelea kuomba na kupangwa wakati ujao?
Watalaam leteni mawazo yenu.
UmemalizaAende Halmashauri apate check namba baadae atafanya mchakato wa kuhama kwenda Tarura
😹😹😹Halmashauri wapo kwa ajili ya umbea na wivu, kutwa wanasemana😄, ukiwahi kazini utawasikia wakongwe wanakunanga tu, ukiwa na juhudi ya kazi napo ni mipasho ya kukukatisha tamaa yaani. Bora aende MAKKA tu😀
Kama ofisi ya walimu ahahaah ukiingizwa huko utachambwa weeeHalmashauri wapo kwa ajili ya umbea na wivu, kutwa wanasemana😄, ukiwahi kazini utawasikia wakongwe wanakunanga tu, ukiwa na juhudi ya kazi napo ni mipasho ya kukukatisha tamaa yaani. Bora aende MAKKA tu😀
una ufahamu wa kutosha kuhusu hili uliloandika?/?Aende TARURA. Halmashauri kazi zipo tu, akizitaka atazikuta baadaye.
Lakini pia TARURA ni semi autonomy ila iko chini ya Halmashauri hizo hizo.