Wazo zuri sana!Mshauri aende chap akaripoti Halmashauri. Kwa engineers Halmashauri ni kuzuri sana na isitoshe anakuwa na uhakika wa kuendelea na usajili kwa ngazi za bodi ya engineers.
Tarura ajira za muda hazina uhakika na hasa mwaka huu wa uchaguzi.
Baada ya miaka 3 akiwa kwenye ajira ya kudumu anaweza kuhamia taasisi nyingine au kuazimwa kwa muda huko huko TARURA
Unaelewa unakiandika? nini maana ya chini ya Halmashauri.RUWASA na TARURA ni taasisi zinazofanya kazi chini ya Halmashauri.
Mwamba karudia uzi wake na ID yake nyingine😆 anakuja kutusumbua tu.Pitia hapa tulishajadili jambo kama hilo.
Aende Halmashauri au Wakala (Agency)
Wanabodi salama? Kheri ya Idd kwa nyinyi na Familia Zenu. Nina mdogo wangu ni Engineer (Mambo ya Civil) kapata kazi Halmashauri (Permenent) ila Pia kapata Mkataba TARURA (Wakala wa barabara). Upande wa halmashauri Mshahara haufikii hata Gross ya 1M ila upande wa wakala anapata Gross ya 2M...www.jamiiforums.com
Akishaajiriwa halmashauri atahamana na sio kuomba kazi upyaMkuu baadaye utumishi hawatamzingua katika kuomba kazi? System si itakuwa inamuona kama mtu ambaye alishapewaga Placement
Ukishapangiwa placement na utumishi huwezi tena kuomba nafasi nyingine mpaka miaka mitatu ipite.Mkuu baadaye utumishi hawatamzingua katika kuomba kazi? System si itakuwa inamuona kama mtu ambaye alishapewaga Placement
Unataka kubisha nini?Unaelewa unakiandika? nini maana ya chini ya Halmashauri.
Kwamba TARURA na RUWASA wapo chini ya Halmashauri siyo?Unataka kubisha nini?
Mbona akili kama gimbi
RUWASA na TARURA ni mashirika chini ya TAMISEMI, na Wakurugenzi wa Halmashauri ni sehemu ya Wakurugenzi pia kwenye hayo mashirika.Kwamba TARURA na RUWASA wapo chini ya Halmashauri siyo?
Acha kuwa mjuaji kwa jambo ambalo hulijui. Uliza kwa wenye kujua. Usikaze vuvu wakati hujui.RUWASA na TARURA ni mashirika chini ya TAMISEMI, na Wakurugenzi wa Halmashauri ni sehemu ya Wakurugenzi pia kwenye hayo mashirika.
Shida ya machoko mnaofirwa akili zenu huwa zinawaza kufirwa tu.Acha kuwa mjuaji kwa jambo ambalo hulijui. Uliza kwa wenye kujua. Usikaze vuvu wakati hujui.
Mkuu, ninavyoelewa mimi hizi ni Agency zilizo chini ya Serikali kuu lakini zinafanya kazi moja kwa moja mamlaka ya Serikali za mitaa.RUWASA na TARURA ni mashirika chini ya TAMISEMI, na Wakurugenzi wa Halmashauri ni sehemu ya Wakurugenzi pia kwenye hayo mashirika.
Hizo mamlaka ni vishirika chini ya TAMISEMI.Mkuu, ninavyoelewa mimi hizi ni Agency zilizo chini ya Serikali kuu lakini zinafanya kazi moja kwa moja mamlaka ya Serikali za mitaa.
Nisahihishwe kama sipo sahihi.
Oooh! Sawa sawa.Hizo mamlaka ni vishirika chini ya TAMISEMI.
Hata wakurugenzi wa Halmashauri ni Wajumbe wa bodi za hivyo vishirika.
View attachment 3339617
Kama ni muislamu aende Tarura, DG wa pale kwa udini ameshindikana.WanaJF! Kwema? Moja kwa moja niende kwenye Mada.
Mdogo wangu kapata kazi ya Uhandisi ya Mkataba TARURA ila pia kapata Kazi Permenent HALMASHAURI.
TARURA atapata kama 2M na marupurpu mengine kwa anabyodai Wakati Halmashauri ni 1M pia kwa ufatiliaji wake Halmashauri marupuru ni kwa manati.
Yuko njia panda, check number anaitaka ila pia anaogopa kujiingiza Halmashauri asije kupotea kule na ugumu wa Maisha pia.
Mkataba una faida ya kimaslahi kwa sasa ila anaogopa consequences zake kama kusitishiwa, kutopanda daraja na pia kuwa na zero chances ya kuwa kiongozi unless mkataba ufanywe permenent.
Na Je asiporipoti kuna consequences zipi za ki utumishi? Ataruhusiwa kuendelea kuomba na kupangwa wakati ujao?
Watalaam leteni mawazo yenu.
Hiyo chart yako imeonesha wapi kwamba TARURA zipo chini ya Halmashauri. Au hata maana ya Halmashauri hujui. Uliza kwa wenye kujua. Don't be junk of all trade.
Hovyo sana yaaniHalmashauri kiukweli kuna uswahili mwingi na usiombe uwakute wale wazee hlmashuri wanaiona kama mali yao ....ndio maana ikaitwa local gvt
😂😂😂😂Halmashauri wapo kwa ajili ya umbea na wivu, kutwa wanasemana😄, ukiwahi kazini utawasikia wakongwe wanakunanga tu, ukiwa na juhudi ya kazi napo ni mipasho ya kukukatisha tamaa yaani. Bora aende MAKKA tu😀