Tulia wewe ...potential hzo tuachie sisi
Ndy tunazijua na tunawabana Nyie kutoka kenya
Ova
Towns za Tz outside dar zinakaanga vumbi na mabati tu, sijui kama ni mimi pekee yangu huona hivyo, love the chilles tho
Lol,I am looking at it and Kisii town seems to be more developed than this thing they call a town.I think if kisii was in Tanzania they would call it a city.Towns za Tz outside dar zinakaanga vumbi na mabati tu, sijui kama ni mimi pekee yangu huona hivyo, love the chilles tho
Definitely 😂Lol,I am looking at it and Kisii town seems to be more developed than this thing they call a town.I think if kisii was in Tanzania they would call it a city.
Yet they are more developed than that thing.Do u think 350K ni Kidogo??
Fyi Morogoro town is by Far More populated than Nakuru or even Kisumu.
Hii Sumbawanga kabisaLol,I am looking at it and Kisii town seems to be more developed than this thing they call a town.I think if kisii was in Tanzania they would call it a city.
Boss does not even come close, i have seen the aerial view of sumbawanga and the fact that you call it a city means kisii in tanzania would have been a city yet in Kenya it is not close to being granted city statusHii Sumbawanga kabisa
Wapogolo na Waluguru wameshindwa kuboresha Moro, huo mji nimeishi na una potential sana maana magari yote yanayokwenda kwenye mataifa kadhaa majirani wa Tz hupitia kwenye huo mji, pia hata magari ya kwenda mikoani.
Lakini mji wenyewe haukui, kila nikirudi hata baada ya miaka mingapi, huwa nakuta hali ni ile ile nilivyoiacha.
Leta Aerial View
Lol,I am looking at it and Kisii town seems to be more developed than this thing they call a town.I think if kisii was in Tanzania they would call it a city.
Hii Sumbawanga kabisa
Sasa towns zinakaanga nini tena? Towns zinaweza kukaanga ?
[/QUOTE\
My fellow kenyans have understood what i mean, wewe baki hapa ukishangaanga😂😂
😂😂Tuusan hizi bangi umevuta siku hizi itabidi umepimwa mkojo soonMoro aki imechapa sana miji ya kenya,mi ni mkenya lakini hapa nmetii
Bila fitna wakenya huwawez kwa manenoWatu wameanza kutamani kua Wakenya. Nafeel proud kama mzawa. Tuendelee kupiga kazi.
Nilidhani ni mzaha pale kwa ile battle ya Nai vs dar ,,kumbe Lewis254 alikuja kukuoa Susan.Moro aki imechapa sana miji ya kenya,mi ni mkenya lakini hapa nmetii