Aerial View of Morogoro Town, 200km West of Dar

Aerial View of Morogoro Town, 200km West of Dar

Tulia wewe ...potential hzo tuachie sisi
Ndy tunazijua na tunawabana Nyie kutoka kenya

Ova

Hamzijui maana mpo mpo tu, hadi sisi tuje na kuzichangamkia ndio mnatia akili.
 
Towns za Tz outside dar zinakaanga vumbi na mabati tu, sijui kama ni mimi pekee yangu huona hivyo, love the chilles tho
Lol,I am looking at it and Kisii town seems to be more developed than this thing they call a town.I think if kisii was in Tanzania they would call it a city.
 
Hii Sumbawanga kabisa
Boss does not even come close, i have seen the aerial view of sumbawanga and the fact that you call it a city means kisii in tanzania would have been a city yet in Kenya it is not close to being granted city status
 
Wapogolo na Waluguru wameshindwa kuboresha Moro, huo mji nimeishi na una potential sana maana magari yote yanayokwenda kwenye mataifa kadhaa majirani wa Tz hupitia kwenye huo mji, pia hata magari ya kwenda mikoani.
Lakini mji wenyewe haukui, kila nikirudi hata baada ya miaka mingapi, huwa nakuta hali ni ile ile nilivyoiacha.

Moro pana potential kubwa kiukweli na wapogolo na waluguru ni shida kwenye kufanya kazi ila bado mji unakua; uzuri wa morogoro ni kama umejitenga katika miji miwili so, kule msamvu papo vizuri pia yaani inahitajika strategy tu ya kupaendeleza. Ila Morogoro bado papo livable ukilinganisha na miji mingi tu ya Tanzania
 
Moro aki imechapa sana miji ya kenya,mi ni mkenya lakini hapa nmetii
 
Watu wameanza kutamani kua Wakenya. Nafeel proud kama mzawa. Tuendelee kupiga kazi.
 
Back
Top Bottom