Wapogolo na Waluguru wameshindwa kuboresha Moro, huo mji nimeishi na una potential sana maana magari yote yanayokwenda kwenye mataifa kadhaa majirani wa Tz hupitia kwenye huo mji, pia hata magari ya kwenda mikoani.
Lakini mji wenyewe haukui, kila nikirudi hata baada ya miaka mingapi, huwa nakuta hali ni ile ile nilivyoiacha.