Aerial View of Morogoro Town, 200km West of Dar

Aerial View of Morogoro Town, 200km West of Dar

Nilidhani ni mzaha pale kwa ile battle ya Nai vs dar ,,kumbe Lewis254 alikuja kukuoa Susan.
Hawakukazi vizur najua
IMG-20170714-WA0005.jpg
 
Acha uongo! Kisichobadilika ni ule UWANJA WA JAMHURI tu...
Wapogolo na Waluguru wameshindwa kuboresha Moro, huo mji nimeishi na una potential sana maana magari yote yanayokwenda kwenye mataifa kadhaa majirani wa Tz hupitia kwenye huo mji, pia hata magari ya kwenda mikoani.
Lakini mji wenyewe haukui, kila nikirudi hata baada ya miaka mingapi, huwa nakuta hali ni ile ile nilivyoiacha.
 
Back
Top Bottom