GE2025 Aesh Hilaly achukua fomu ya ubunge jimbo la Sumbawanga Mjini

GE2025 Aesh Hilaly achukua fomu ya ubunge jimbo la Sumbawanga Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly Aesh hilaly amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge kukiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu ujao.

Fomu hiyo ameichukua leo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Sumbawanga Mjini, akikabidhiwa Fomu na Katibu wa Chama Wilaya Bi. Tabu Rajabu Hussein.

Akizungumza na waandishi wa habari Mara baada ya kuchukua fomu Aesh Hilaly amesema amechukua fomu ili kuyaendeleza mazuri aliyoyaanzisha na kusema endapo atapata ridhaa ataendelea kuwatumikia wananchi kama ilivyokuwa katika uongozi wake.
1751371166217.png
 
Back
Top Bottom