Afadhali changudoa

Afadhali changudoa

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
Unaanza nae vizuri ukidhani atakufaa hapo mbeleni lakini mh!.

Siku zinapozidi kwenda mbele unaona kamba inavutika zaidi upande mmoja:
  1. baada ya siku tatu tu za mahusiano yenu alikuomba umnunulie simu. simu aliyokuwa nayo anaifunga kwa "mipira kama ile ya kufungia hela" betrii inachomoka kila wakati, haina network, ya rangi ya siliver lakini imefuba balaa!,. Unaona ni muhimu kumnunulia simu lakini anasema umpe tu hiyo hela ataongezea apate nzuri zaidi, Lakini unapokutana nae kesho yake una unaona aina ya simu aliyonunua haina hadhi ya thamani ya pesa uliyompa.
  2. Pengine anakutumia sms kukuomba umtumie vocha ili mpate pia kuwasiliana
  3. ukiwa una uhakika kabisa kuwa vocha ya dola 10, lakini wewe hakupigii kamwe, ataishia "kukubip". Ukiuliza "why"...anajibu eti iliishia kumpigia mama yake!.
  4. Anafanya kazi, lakini kila mkikutana akitana kuongeza na mtu anataka kutumia simu yako tu ya kwake anasema haina credit.
  5. ukimwitaji aje kwako angalau kwa "tendo" anakuja kwa taxi, unalipa, mtakula, kumnywa, ila ukimgusa tu anakuambia "nipo katika siku zangu au sijisikii vizuri"..
  6. atataka mtoke kwenda kwenye starehe (club), ataomba hela ya kwenda saloon,ataomba ya taxi nk..
  7. Ukiwa club utalipa kiiingilio, vinywaji na kila zaga zaga mpaka siku iishe. Ukisema huna kitu atanuna na kuona unambania tu. Furaha itaishia hapo, mtakorofishana na ataondoka pasipo hata kuaga.
  8. Siku ambayo wewe upo "bize" yeye kwake anaona unamkimbia, ukimpigia simu hapike, au pengine kakuzimia kabisa.... Ukisema uende kwake hayupo, unaambiwa katoka na wenzake.
  9. Siku akikuomba umsindikize sehemu akanunue kitu, atachagua na kuelekeza wewe ndio ulipe....
  10. Ikiwa yakaribia sikukuu, anataka mwende "shopping",ukimchagulia kile ambacho wewe unaona atapendeza, anakumbia yeye hawezi kuvaa hilo "lapu lapu" atachukua ile ambayo kuilipia huwezi kutoka bila maumivu...ukikataa, kesho yake utaona kaivaa hiyo hiyo hujui alinunua saa ngapi!.
  11. Pengine atakuja na simulizi za shida kibao za kwao, utamwonea huruma umsaidie..lakini ukimweleza leo huna kitu kwa kuwa umetuma kiasi kwa mzazi wako unaona sura yake inabadilia, hanakuwa hana furaha kabisa....
Pengine unaona ni heri ya kutafuta changudoa tu, una malizana nae hata kama ni gharama kubwa inaeleweka yupo kibiashara na utakuwa mwangalifu zaidi kuliko sehemu unayojiamini kuwa kuna penzi na inafika wakati ukajikuta unajeruhiwa wewe tuuu na kuumizwa moyo!.
 
Unaanza nae vizuri ukidhani atakufaa hapo mbeleni lakini mh!.

Siku zinapozidi kwenda mbele unaona kamba inavutika zaidi upande mmoja:
  1. baada ya siku tatu tu za mahusiano yenu alikuomba umnunulie simu. simu aliyokuwa nayo anaifunga kwa "mipira kama ile ya kufungia hela" betrii inachomoka kila wakati, haina network, ya rangi ya siliver lakini imefuba balaa!,. Unaona ni muhimu kumnunulia simu lakini anasema umpe tu hiyo hela ataongezea apate nzuri zaidi, Lakini unapokutana nae kesho yake una unaona aina ya simu aliyonunua haina hadhi ya thamani ya pesa uliyompa.Yani baada ya siku 3 tu ameshakuzoea kiasi chakutaka umnunulie simu??Kama siku 3 tu unakubali kumnunulia simu unadhani atataka nn baada ya wiki 2 au 3??Ukianza kwakuhonga, kua tayari kuendeleza libeneke. BTW....siku zote alikua anaitumia vp mpaka leo ishindikane???
  2. Pengine anakutumia sms kukuomba umtumie vocha ili mpate pia kuwasiliana. Angekua na nia na wewe angeitafuta hio credit mwenyewe ilia aweze kuwasiliana na wewe.
  3. ukiwa una uhakika kabisa kuwa vocha ya dola 10, lakini wewe hakupigii kamwe, ataishia "kukubip". Ukiuliza "why"...anajibu eti iliishia kumpigia mama yake!.Akikubeep usipige uone atafanyaje!
  4. Anafanya kazi, lakini kila mkikutana akitana kuongeza na mtu anataka kutumia simu yako tu ya kwake anasema haina credit.Sema na yako haina kitu vile vile....kwani anakunyang'anya?
  5. ukimwitaji aje kwako angalau kwa "tendo" anakuja kwa taxi, unalipa, mtakula, kumnywa, ila ukimgusa tu anakuambia "nipo katika siku zangu au sijisikii vizuri"..Kama hamjakubaliana aje nayo mwambie huna cash uone kama hatalipa!
  6. atataka mtoke kwenda kwenye starehe (club), ataomba hela ya kwenda saloon,ataomba ya taxi nk.. Mazoea mabaya hayo...ina maana bila wewe hizo nywele hazitasukwa? Kama inawezekana sometimes ukiwa nae panda daladala ili aone aibu kuomba hela ya taxi wakati wewe unapanda daladala.
  7. Ukiwa club utalipa kiiingilio, vinywaji na kila zaga zaga mpaka siku iishe. Ukisema huna kitu atanuna na kuona unambania tu. Furaha itaishia hapo, mtakorofishana na ataondoka pasipo hata kuaga.Duh!!!!Baada ya hapo mchunie ...samahani aje kuiomba yeye kwasababu hujamkosea chochote
  8. Siku ambayo wewe upo "bize" yeye kwake anaona unamkimbia, ukimpigia simu hapike, au pengine kakuzimia kabisa.... Ukisema uende kwake hayupo, unaambiwa katoka na wenzake. We nawe....mpaka hapa hujagundua hana time na ww???
  9. Siku akikuomba umsindikize sehemu akanunue kitu, atachagua na kuelekeza wewe ndio ulipe....Sema huna pesa!!Kwani we ndo ulimwalika???
  10. Ikiwa yakaribia sikukuu, anataka mwende "shopping",ukimchagulia kile ambacho wewe unaona atapendeza, anakumbia yeye hawezi kuvaa hilo "lapu lapu" atachukua ile ambayo kuilipia huwezi kutoka bila maumivu...ukikataa, kesho yake utaona kaivaa hiyo hiyo hujui alinunua saa ngapi!.Hapo ndo ujue kua pesa anazo...ila anataka kuchomoa zako 2!
  11. Pengine atakuja na simulizi za shida kibao za kwao, utamwonea huruma umsaidie..lakini ukimweleza leo huna kitu kwa kuwa umetuma kiasi kwa mzazi wako unaona sura yake inabadilia, hanakuwa hana furaha kabisa....Mpe pole then endeleza story.....
Pengine unaona ni heri ya kutafuta changudoa tu, una malizana nae hata kama ni gharama kubwa inaeleweka yupo kibiashara na utakuwa mwangalifu zaidi kuliko sehemu unayojiamini kuwa kuna penzi na inafika wakati ukajikuta unajeruhiwa wewe tuuu na kuumizwa moyo!.Tatizo wewe unajiingiza macho umefumba.Kuna dalili ukishaziona unajua kabisa hamna kitu hapo!Moja wapo ni hizo omba omba.....inaonyesha upo kwaajili ya kutumika 2

Swali:We hawa warembo unawapata wapi???:yuck:

Kama umekutana na zaidi ya mmoja wa aina hii...nakushauri ubadilishe sehemu unazeotembelea (ulipobahatika kukutana nao), coz wanaonekana wako kibiashara zaidi,au wanyonyaji kwa jina jingine.
 
Ngoswe ina mana na wewe unapigika mizinga kiivyo?! Mwanamke mstaarabu kama anakupenda hawezi kukugeuza ATM kiasi hicho!...Endelea kuangaza utakutana na sampo nyingine tu ila CD hapana..
 
kaka utafute changudoa wa nn wakati huyo uliyenae ni changudoa

Definition ya changudoa kutoka kwenye kamusi ya Kiswaili
1. Samaki anayejipeleka mwenyewe kwa mvuvi
2. Mwanamke anayefanya mapenzi kama biashara

kwa hiyo definition ya pili huyo wa kwako amegeuza wewe ni mtaji wa matatizo yako (wale wale tu)
 
Inabidi uwe unafanya 'due diligence' kabla hujaamua kuwa nao karibu hivyo! Kama uko makini mwanamke wa jinsi hiyo unaweza kumjua mapema sana kabla hata hajakuchuna kiasi hicho.
 
Lakini pamoja na yote hayo Changudo ni Changudoa tu.
 
Unaanza nae vizuri ukidhani atakufaa hapo mbeleni lakini mh!.

Siku zinapozidi kwenda mbele unaona kamba inavutika zaidi upande mmoja:
  1. baada ya siku tatu tu za mahusiano yenu alikuomba umnunulie simu. simu aliyokuwa nayo anaifunga kwa "mipira kama ile ya kufungia hela" betrii inachomoka kila wakati, haina network, ya rangi ya siliver lakini imefuba balaa!,. Unaona ni muhimu kumnunulia simu lakini anasema umpe tu hiyo hela ataongezea apate nzuri zaidi, Lakini unapokutana nae kesho yake una unaona aina ya simu aliyonunua haina hadhi ya thamani ya pesa uliyompa.
  2. Pengine anakutumia sms kukuomba umtumie vocha ili mpate pia kuwasiliana
  3. ukiwa una uhakika kabisa kuwa vocha ya dola 10, lakini wewe hakupigii kamwe, ataishia "kukubip". Ukiuliza "why"...anajibu eti iliishia kumpigia mama yake!.
  4. Anafanya kazi, lakini kila mkikutana akitana kuongeza na mtu anataka kutumia simu yako tu ya kwake anasema haina credit.
  5. ukimwitaji aje kwako angalau kwa "tendo" anakuja kwa taxi, unalipa, mtakula, kumnywa, ila ukimgusa tu anakuambia "nipo katika siku zangu au sijisikii vizuri"..
  6. atataka mtoke kwenda kwenye starehe (club), ataomba hela ya kwenda saloon,ataomba ya taxi nk..
  7. Ukiwa club utalipa kiiingilio, vinywaji na kila zaga zaga mpaka siku iishe. Ukisema huna kitu atanuna na kuona unambania tu. Furaha itaishia hapo, mtakorofishana na ataondoka pasipo hata kuaga.
  8. Siku ambayo wewe upo "bize" yeye kwake anaona unamkimbia, ukimpigia simu hapike, au pengine kakuzimia kabisa.... Ukisema uende kwake hayupo, unaambiwa katoka na wenzake.
  9. Siku akikuomba umsindikize sehemu akanunue kitu, atachagua na kuelekeza wewe ndio ulipe....
  10. Ikiwa yakaribia sikukuu, anataka mwende "shopping",ukimchagulia kile ambacho wewe unaona atapendeza, anakumbia yeye hawezi kuvaa hilo "lapu lapu" atachukua ile ambayo kuilipia huwezi kutoka bila maumivu...ukikataa, kesho yake utaona kaivaa hiyo hiyo hujui alinunua saa ngapi!.
  11. Pengine atakuja na simulizi za shida kibao za kwao, utamwonea huruma umsaidie..lakini ukimweleza leo huna kitu kwa kuwa umetuma kiasi kwa mzazi wako unaona sura yake inabadilia, hanakuwa hana furaha kabisa....
Pengine unaona ni heri ya kutafuta changudoa tu, una malizana nae hata kama ni gharama kubwa inaeleweka yupo kibiashara na utakuwa mwangalifu zaidi kuliko sehemu unayojiamini kuwa kuna penzi na inafika wakati ukajikuta unajeruhiwa wewe tuuu na kuumizwa moyo!.

Pole sana kama ni kitu cha kweli kimekukuta ndugu.
Naomba kuuliza swali la kizushi..... watu kama hawa mnakutana nao wapi?
 
malalamiko yako yote ni ya kujitakia ..........na waswahili wanasema jambo la kujitakia haliambiwi pole.
 
Pole sana kama ni kitu cha kweli kimekukuta ndugu.
Naomba kuuliza swali la kizushi..... watu kama hawa mnakutana nao wapi?

1. Maofisini tunakotafuta mkate wetu wa kila siku
2. Kwenye Harusi/Send Off Party ambako ni "biggest outing" of our times
3. Baa au Club ambako ndiyo sehemu maarufu zaidi kuwapata
4. Kwenye Nyumba za ibada
5. Kwa kupigiwa "cross" na rafiki
6. Kwa kuunganishiwa na rafiki au ndugu
7. . . .
 
Inatisha kweli!
 
wanafunzi ndio wana haka katabia ka mizinga.

Ila kuema kweli inategemea wewe mwanaume ume muapproach vipi mwanamke ukiingia kwa kujisifia na wengine hukodi hata magari ya kifahari ili tu waonekane wako juu basi hapo unageuzwa mtaji.
 
Mpwa acha kudate wanafunzi!
 
kwa mtaji huu vijana mtajenga kweli?
Nikiwashauri vijana wajiunge kwenye chama changu cha kustarehe na mabaamedi wala hata hawanielewagi.

Acha wachunwe, si wanajitakia wenyewe?
 
mwanamme wengi wao huwa wanataka tendo tu kwa mwanamke na mwanamke nae anataka mtaji tu kwako...............kama tit for tat flani hivi
 
Back
Top Bottom