Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Shirika la viwango nchini (TBS) limetangaza rasmi kuzuia uingizaji, usambazaji na uuzaji wa Nguo za ndani kama shumizi, tight, soksi brazia chupi nk
Ni hatua nzuri japo kuna mengi ya kuangaliwa , kuna vichafu vingi tunalishwa daily kuna sumu nyingi tunalishwa daily na hivi vitu vina madhara makubwa kwetu mno kuliko hata hayo magagulo ya mtumba
Kuna michicha tunalishwa kila Siku, michicha hii na mboga nyingine nyingi za majani zina madhara makubwa kimwili kwakuwa maji yaliyotumika kuukuza yako contaminated ile mbaya, mbolea yake hivyo hivyo udongo wale nao umo, hivyo tunakula sumu bila kujua
Kuna haya mayai ya kizungu na nyama yake ya kuku, Zipo habari mbalimbali kuwa kuku wa nyama hupewa ARV's na vidonge vya uzazi wa mpango ili wakue haraka, kuna kesi nyingi tu zinahohusiana na hili. Yale mayai nayo si mazuri hata Kidogo
Kuna haya maji tunayo nawa kwenye vyoo vya jumuiya kwenye mabar na Sehemu za vyakula, matanki yake ukiuliza yalisafishwa lini mara ya mwisho hutapata jibu, tunafahamu majiyetu ya Ruvu juu na chini yalivyo, ukipitisha mwezi tu hujasafisha matanki na madumu Nyumbani ni kasheshe
Kuna hivi vyombo tunavyotumia kila Siku kwenye mahoteli mabar vioski nk, glass kwenye vilevi zinatia kinyaa licha ya maji kuwa machafu lakini pia glass zinaoshwa kwenye karai 2 moja lenye sabuni la pili la kusuuzia , maji ni yaleyale mwenye tb yake au magonjwa mengine ya kuambukiza wote humohumo
Kuna sahani vijiko vikombe vyote hivi ukiviangalia vimebeba virusi na vimelea vya magonjwa kibao usafi wake si wa kuridhisha kabisa
Kuna mengi mno ambayo yanatuambukiza magonjwa kama kansa, tb minyoo kuhara na magongwa mengine mengi tu ya kuambukiza
Naungana na TBS kupiga marufuku Nguo za ndani mtumba lakini na hayo mengine pia yatizamwe kwa makini
Sitaki kufa mapema bado naipenda JF