Afadhali chupi ya mtumba

Afadhali chupi ya mtumba

Mkuu hukumbuki kuwa tuliambiwa condom inazuia maambukizi ya ukimwi ilikuwaje ile condom ya "USA" ilipo mwagwa ukanda wa jangwa la Sahara wazungu wanatutakia mema
 
Vema ukiwa na historia ya magonjwa mapya yameingia kati ya miaka ipi itatusaidia hata kupambana wewe unazungumzia maambukizi wakati wa ugonjwa hatukuwa nao miaka ya kabla ya hizo nguo mkuu

Mkuu hukumbuki kuwa tuliambiwa condom inazuia maambukizi ya ukimwi ilikuwaje ile condom ya "USA" ilipo mwagwa ukanda wa jangwa la Sahara wazungu wanatutakia mema
bandamo ukilisoma andiko langu sipingani na uamuzi wa TBS... Kwanza ni hatua nzuri Lakini nimetoa angalizo kwenye hayo maeneo mengine niliyotaja
 
Kumbe tupo pamoja mkuu vema yaka kale ni dhahabu tuwe na utamaduni wa kuweka historia ya magonjwa yanavyo ingia wazungu wana mbinu nyingi mno miaka ya nyuma hatukuwa na vioo tulijisaidia vichakani hatukupata uti Leo vioo vya sink visafi iweje tunaathirika. TBS hawana wanacho tusaidia vingi tunaathiliwa navyo wao wanagonga mihuri tu kuwa ni salama angalia vinywaji hivi vimetengenezwa kwa kemikali wamepitisha harafu tunalalamika kansa imezidi
 
Nimekupata vema
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Maneno uliyonitaka kuyaangalia nimeyapoteza kama itafaa naomba uyarudie niyaone mkuu samahani kwa usumbufu
 
Kama nyie mnavyopenda kununua tupensi twa ndani twa mtumba, vesti za mtumba na tule tuchupi flani hivi tupo kama skin tight!

Mtumba unapendwa na wengi, wake kwa waume!!!
sio kweli mkuu ..wanaume hatununui nguo za mitumba kwa wingi kama nyinyi aisee
 
Back
Top Bottom