Afadhali Katiba ya Tanzania Kuliko Ya Kenya

Ukishakuwa mwanaCCM unakuwa mjinga
 
Sio Mimi ninayesema Tanzania ina amani, wivu wako ndio tatizo, UN kupitia vitengo vyake vya Transparency International na HRW ndivyo vilivyoiweka Tanzania namba 54 duniani na Kenya namba 123, kwahiyo hasira na wivu wako kwa Tanzania punguza, badala yake waulize UN kwanini wanasema Kenya ni miongoni mwa nchi hatari zaidi duniani?
 
Duh!!kwel wewe ni zumbukuku...umeshawai tembelea county yeyote kabla ya mambo ya county kuletwa na sai...
Kwel nimeamini ccm ni janga la taifa...haiya, endeleeni kutekana
 
Mbna mkajenga brt...
Ama brt ni mfano wa kisukuma
 
Lkn hao majaji hawaburuzwi
Ninyi hiyo katiba mpya imebadilishaje maisha na " attitude" yenu?. Bado mnathamini lugha ya mkoloni, bado ardhi yenu iko chini ya wakoloni, bado majaji wenu wanavaa nywele za wakoloni. " Kenya not yet Uhuru".
 
Lugha gani hyo yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tumejitawala, tunamiliki uchumi WETU wenyewe, tunatumia lugha yetu wenyewe, ardhi na uchumi tunaumiliki sisi wenyewe, sio kama ninyi bado mambo Mengi ikiwemo ardhi na biashara nyingi zipo chini ya wazungu.
 
Hayo yote nenda kawaambie UN ambao ndio wenye jukumu la kukusanya taarifa za nchi zote duniani, waulize wamewezaje kujua kwamba Tanzania kwa Amani ni namba 54 wakati hakuna Uhuru wa habari?.

Acha kukimbia ukweli kwamba Kenya mnaongoza kwa
1)Ukabila
2)Rushwa
3)Crime
4)Slums
5)Hunger
6)Nepotism
7)Big gap between rich and poor
8) Deni kubwa la taifa

Sasa haya unahitaji bunge lirushwe live ndio vijulikane. Jirekebisheni acheni ujuaji nchi inasambaratikana hiyo.
 
Ulaji wa albino unafinika hyo list kw mbali sana...

Yani hatari zaidi ya hatari, na haijawahi tokea..only in tanzania
 
Kwahivyo mna 'amani' kwasababu mnainajisi katiba yenu ya mkoloni na Kenya haina amani kwasababu inafata utawala wa sheria chini ya katiba mpya? Hizi ndio huwa zinaitwa akili za kuvukia barabara. Sina la ziada.
 
Lkn hao majaji hawaburuzwi
Ila wanatukanwa na rais anayepaswa kuwa mfano wa kuheshimu MAHAKAMA, anawaita wahuni/ wakora na kwamba atawashughulikia. Hadi Leo MAHAKAMA imetoa AMRI kwamba Miguna Miguna arudishwe nchini na arudishiwe passport yake, lakini serikali imekataa kuheshimu MAHAKAMA, eti mnasema Kenya ina demokrasia. Kenya ni nchi ya hovyo sana katika ukanda huu.
 
Kwahivyo mna 'amani' kwasababu mnainajisi katiba yenu ya mkoloni na Kenya haina amani kwasababu inafata utawala wa sheria chini ya katiba mpya? Hizi ndio huwa zinaitwa akili za kuvukia barabara. Sina la ziada.
MAHAKAMA ilipoamuru Miguna Miguna arudishwe nchini lakini serikali yenu imekataa kutii AMRI ya MAHAKAMA, huko ndio kufuata utawala wa sheria?, viongozi wa dini kule pwani kupigwa risasi na kuuwawa hovyo ndio utawala wa sheria?.

Wivu wenu kwa Tanzania hausaidii kitu. Amani ya Tanzania imethibitishwa na UN, ninyi endeleeni kupigana risasi kwa misingi ya ukabila, mwaka huu mtashika namba 160 duniani.
 
Mwaka huu hao viongozi wa dini wameuwawa wangapi mombasa?
Jaluo nao mwaka huu wamechinjwa wangapi?

Endeleeni kutekana tu
 
Miguna miguna kesi yake bado ipo kotini..
Uhuru aliwatishia, uliona walishtuka au kutengua uamuzi,kila mtu lazima apandwe na jazba...

Haya na wewe nieleze kesi ya lissu vp?
 
Anaruka ruka hlu akiitaja ile scene ya miguna miguna ndio aonekane kwao kuna demokrasia[emoji1787][emoji1787]
Kwahivyo mna 'amani' kwasababu mnainajisi katiba yenu ya mkoloni na Kenya haina amani kwasababu inafata utawala wa sheria chini ya katiba mpya? Hizi ndio huwa zinaitwa akili za kuvukia barabara. Sina la ziada.
 
Leo tumeona Gavana wa Mombasa akipewa share ya kibiashara kwenye SGR na kuwatupa watu wa Coast. Gavana wa Migori ameua binti mdogo lakini kutumia pesa na nafasi yake yupo free. Gavana wa Kiambu ameiba mabilioni ya fedha lakini yuko free. Utasema hii nchi ina katiba nzuri. Hapa Tanzania leo wale wezi wote wanajipanga kurudisha fedha waliyoiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…