Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Alisikika mnuka mavii mmoja wa kibera akisema " katiba ni muhimu kuliko haki,Kwahivyo mna 'amani' kwasababu mnainajisi katiba yenu ya mkoloni na Kenya haina amani kwasababu inafata utawala wa sheria chini ya katiba mpya? Hizi ndio huwa zinaitwa akili za kuvukia barabara. Sina la ziada.
Ila Kwa tz tunasema haki ni muhimu kuliko katiba